"Ukaguzi kwa memba wageni hapa mjengoni"

Nashauri watakao kaguliwa wakikutwa na vibamia wafungiwe umember wa jf hadi watakapo.. manyasi madam B natimu yenu ushauri wangu Lol!
 
Last edited by a moderator:
Kuna ma bi dada watatu walikuwa wanafanya hiyo ya kukagua me. Ni kama walianza kuzidiana kete. Pengine wakipita hapa watajitambulisha. Mi nina bifu nao as walianza kukagua hata baba zao.
Mamndenyi naomba unikague wewe tafadhali...!!!
 
Last edited by a moderator:
Hapana Chocs hukaguliwi kama eyapoti,
kwa muujibu wa katiba mama ya cc na mmu ibara ya 14 inaelekeza kuwa "ke atakaguliwa na me, halafu me atakaguliwa na ke" sheria iko wazi kabisa ndio maana nikapata msingi wa kujenga hoja!
Kwani wewe umeshakaguliwa na Filipo?


Nimekuelewa mkuu ila Mmmmh napata wasiwasi

Hapana. Filipo hakunikagua...by that time alikua ni Asprin
 
Last edited by a moderator:
Najua sana shemkwe na nashukuru kwa kujali

Ila mambo mengine urojo urojo

Nakuheshimu ujue

Sasa kwakuwa watu8 mzee mwenzangu ni mkwe wako ngoja nikae mimi kwa niaba yake!
Eti mzee mwenzangu si naruhusiwa kukaimu nafasi yako?
 
Last edited by a moderator:
Nashauri watakao kaguliwa wakikutwa na vibamia wafungiwe umember wa jf hadi watakapo.. manyasi madam B natimu yenu ushauri wangu Lol!

wewe umeisoma vizuri katiba ya CC na MMU?
Malengo ya ukaguzi yameelezwa wazi wala hayaonesha ubaguzi!
Kwa mantiki hiyo kuwatenga memba itakuwa kukiuka katiba yetu!
labda kama unataka tuwe na katiba mpya leta hoja binafsi mswada uanzishwe!
CC: Arushaone Asprin Filipo na watu8
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom