"Ukaguzi kwa memba wageni hapa mjengoni"

Sasa kwakuwa watu8 mzee mwenzangu ni mkwe wako ngoja nikae mimi kwa niaba yake!
Eti mzee mwenzangu si naruhusiwa kukaimu nafasi yako?

Hehehe...we tafuta zana za ukaguzi na uingie kazini kuimalizia kazi iliyomshinda Babu ODM
 
Hii step sikuipitia ndio maana nimekuwa najiuliza! kwani wewe si una weza kunikagua pia?

aaaah wapi nitapigwa faini
kwa kuingilia majukumu ya watu buuureee!!
ngoja nimuite pacha wangu Lady doctor
aje akukague mi nitaandaa vifaa tu!!
 
Last edited by a moderator:
tena Mwanyasi ana hamu ya kukaguliwa
zana zimejaa,mkiwa tayari mnijuze
mbona atajutraaaa!!
 
Last edited by a moderator:
honey, baada ya kunioa niliacha shughuli nzima ya kuwakagua wanaume humu now tuko ndani ya ndoa unajitia kiherehere kubeba jukumu la kuwakagua wanawake. kamavipi wakague humu mie nikawakague jukwaa la wakubwa

Njoo unikague
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom