Taarifa: Kuvuliwa kwa Cheo cha Ubabu wa Mtambuzi

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,462
TAARIFA: Kuvuliwa Cheo cha UBABU wa Mtambuzi


Rejea kichwa cha habari hapo juu;

Kamati ya wanajamvi na wanaushirika wa MMU na CC umeonelea ukae na kujadili
mambo muhimu hususani hili suala la UBABU wa kiongozi wetu hapa jamvini ambaye
kwa namna moja ama nyingine amekuwa ameahidimika na kufanya dimba lisiwe na
mwelekeo wowote na wala hakuna ambaye anawatakataza watoto wadogo walioingia
hapa kuleta mambo yao ya kitoto na kuharibu hali ya hewa mjengoni humu.

Kutokana na SAFARI zake sizizo na msingi wala tija kwa Taifa letu la Mjengoni cc tumeona
tumpumzishe na kumpa hiyo nafasi mtu mwingine ambaye anaonekana na NIA ya kuongoza
hapa mjengoni hivyo kamati imekaa na ikampendekeza Bujibuji kushika uwadhifa huo
wa UBABU anakabidhiwa cheo hicho kuanzia sasa leo tarehe 25/04/2014

MAKABIDHIANO HAYO YATAFANYIKA JIIONI PALE LTHP AJE NA PICHA 2 NA PASS YA KUSAFIRIA
KWANI TUTAMPELEKA MAFUNZONI NCHINI TANGANYIKA.


Nawasilisha

Ladyf


cc: Asprin, KakaKiiza, Erickb52, LiverpoolFC, Arushaone, stevoh, Kaizer, Excel, mwallu,
Passion Lady, charminglady, Lady doctor, measkron, evenly Salt, kabanga, mwaJ, Jiwe Linaloishi,
Nicas Mtei, Mentor (huyu KATIBA imemchanganya), mshanaJr, MTAFITI, Viol, Daudi1, nitonye, kiwatengu, kawambwa, na Mamndenyi, Madame B, karibu mnasemaje wadau wa mmu na cc
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom