"Ukaguzi kwa memba wageni hapa mjengoni"

"Ukaguzi kwa memba wageni hapa mjengoni"

Usisumbuke bure, angalia join dates zetu utajua fasta..... Yani kabla yeye hajaanza kukagua mi nlishakagua mama zake. Usisahau huyu daktari ni mjukuu wangu...:A S 39:

Hehe hee! ulimkagua nani vile? Lady doctor sasa nimefahamishwa kisawasawa!
 
Last edited by a moderator:
naona mabishano mengi mkaguaji hajulikani,naomba ruhusa nijikague mwenyewee

cc: Asprin,Arushaone,watu8
 
dogo lake kukagua si kazi rahisi kama unavyo ifikiria, halafu mumeo kajichimbia wapi?

Mmmmmhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hata mimi sielewi maana hata ajaniaga labda umuulize Mr Rocky yeye ndie anaejua ndugu yake kajichimbia wap!,
 
Last edited by a moderator:
Kuna mwongozo ulioasisiwa na babu Asprin kuwa memba wapya hususan 'ke' wanakaguliwa na babu kwa usalama wa wana JF! mwongozo huo umefahamika kwa memba wote wa cc na mmu kazi ambayo kwasasa inafanyika chini ya Filipo .
swali ni je memba wa kiume wanakaguliwa na nani? kama hayupo tuchague?

cc: Chocs Lady doctor Arushaone Baba V Madame B Blaki Womani KOKUTONA watu8 YNNAH kiwatengu Mentor Ladymasa Mamndenyi Passion Lady Smile na wana jf wote
Mwanyasi katibu wangu...mi si nafaaa kwa ukaguzi huo?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom