Ukaaji huu msikitini Lipumba kurudi madrasati

Ukaaji huu msikitini Lipumba kurudi madrasati

Mzee Mwinyi kanivutia hisia, kwani anaonekana yuko kwenye kiwango kile cha "Nirvana" madhehemu ya kibunda ambayo Mzee wa watu karibu tafakuri inaelekea kumnyakua juu juu hadi kushangaza watu kumwona kaangama angani akiswali. Hiki ni kiwango cha juu katika swali ye yote va ndugu zangu.

Sasa mwangalie VP asivyokuwa na concentration......Kama anawaza uzinduzi wa KITU KIPYA somewhere na mkasi wake....
 
01%2B%25281%2529.jpg

Yale yale ya kupigana eti Mtume (SAW) hakufunga chini ya kitovu kwani ni ehemu ya utumbo wa kinyesi bali kifuani! Tunawwachia wenyewe! Mpeleke mahakama ya kadhi ushahidi huu unatosha
 
Naona na watu wa kiintelejensia hawana hata japo kofia
 
Yale yale ya kupigana eti Mtume (SAW) hakufunga chini ya kitovu kwani ni ehemu ya utumbo wa kinyesi bali kifuani! Tunawwachia wenyewe! Mpeleke mahakama ya kadhi ushahidi huu unatosha

imetolewa picha comment unaongea vitu ambavyo hata havipo mbona udini umewakaa sana kwenye damu.
 
Walao angeinyoosha tu au mkao wa kuchuchumaa kama wengi walivyofanya, yeye kakaa kama yuko kijiweni vile.

Na mi nilitaka kuseme hivo hivo...huyu jamaa hana hata heshima sehemu kama hiyo akae vizuri ka wenziwe
 
Hivi kumbe hata namna ya ukaaji ni sehemu ya ibaada?

Mi nilidhani ni utamaduni tu wa waarabu kupenda kukaa chini.
 
kwanin yeye hakupewa zulia hiloz dogo kama wenzake? huenda nayo ikawa sababu kufanya hicho alichofanya.

Una macho kama ya paka mkubwa, wengine hawakuona ulichokiona.
 
Back
Top Bottom