Ukaaji huu msikitini Lipumba kurudi madrasati

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
01%2B%25281%2529.jpg
 
Anaumwa miguu.

Mzee Mwinyi kanivutia hisia, kwani anaonekana yuko kwenye kiwango kile cha "Nirvana" madhehemu ya kibunda ambayo Mzee wa watu karibu tafakuri inaelekea kumnyakua juu juu hadi kushangaza watu kumwona kaangama angani akiswali. Hiki ni kiwango cha juu katika swali ye yote va ndugu zangu.
 
bora lipuma yeye kaka ivyo kama amerudi madrasati! kunawengine wanakaa kwenye nyumba zao za ibada huku mapaja yako nje au nguo ya ndani inaonekana, je? hawa wanakuwa kama wamerudi wapi! disco au
 
hivyo viungo unavyodhani ni vya siri, kimsingi si vya siri, kama unadhani ni vya siri fika wodi ya kujifungulia. Ama subiri njia ya mkojo ikuzibe ndipo utajua usawa wa viungo vyako.
 
kweli wewe ndo hamnazo kichwani kabisaaaa! sasa kwaiyo ni halali kuvionesha kwenye nyumba za ibada? hahaha! kweli wewe ni jogi.
 
Sio lazima kukaa hiyo kuna wengine wabovu wa miguu magoti, na kuna wengine ndani ya msikiti wanawekea viti hawawezi kukaa chini.
 
Hehehe! Ama manyonyo yanachungulia eeh?
bora lipuma yeye kaka ivyo kama amerudi madrasati! kunawengine wanakaa kwenye nyumba zao za ibada huku mapaja yako nje au nguo ya ndani inaonekana, je? hawa wanakuwa kama wamerudi wapi! disco au
 
Sio lazima kukaa hiyo kuna wengine wabovu wa miguu magoti, na kuna wengine ndani ya msikiti wanawekea viti hawawezi kukaa chini.

Mstahiki Ritz kuna ya kutetea lakini hili la Lipumba picha ya mkao wake inamsuta hata yeye akiiona. Ukishakuwa mstari wa mbele jitahidi kufanya kama mcheza mganda mstari wa mbele ni stadi zaidi. Mwangalia Makamu wa Rais na Mzee Ruksa, nimevutiwa sana tu nao, lakini huyu Mtahiki Haruna wa CUF mmmm kana kwamba anasubiri bilauri ya kuzima kiu kijiweni, hapa yakhe.
 
Back
Top Bottom