Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,146
- 6,056
Ney yuko sahihi kabisa, kijana Vunjabei ni kama kavamia mji....yaani jamaa anajifanya kama Msukuma aliyekuja mjini mara ya kwanza....kila demu hata asiyeoga yeye anachapa tu. Habari ya mjini hivi sasa eti anamtafuta aidha Mama Dangote au Esma amwage mbegu zake hapo."Naomba Mumkumbushe Fred kua walikuwepo wauza nguo kama yeye walikuwa na hela kuliko yeye, walikuwa washamba wa mademu wa mjini kama yeye na wakafilisika na hawapo tena, so na yeye kwa ushamba huo huo wa mademu tutamsahau ni muda tu #hawakatai zikiisha sasa." - Nay wa Mitego.
View attachment 1847115