Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

"Naomba Mumkumbushe Fred kua walikuwepo wauza nguo kama yeye walikuwa na hela kuliko yeye, walikuwa washamba wa mademu wa mjini kama yeye na wakafilisika na hawapo tena, so na yeye kwa ushamba huo huo wa mademu tutamsahau ni muda tu #hawakatai zikiisha sasa." - Nay wa Mitego.

View attachment 1847115
Ney yuko sahihi kabisa, kijana Vunjabei ni kama kavamia mji....yaani jamaa anajifanya kama Msukuma aliyekuja mjini mara ya kwanza....kila demu hata asiyeoga yeye anachapa tu. Habari ya mjini hivi sasa eti anamtafuta aidha Mama Dangote au Esma amwage mbegu zake hapo.
 
hivi ni kweli ana hela au promo tu!? anaendesha gari gani? nasikia alimuibia demu moni
 
Fredy akienda hivi hatakuwa na tofauti na Mtandale na utajiri wake utaonekana hauna mashiko! Huwezi kukuta Mo anaandika upuuzi namna hii kwenye page yake
Nakumbuka kuna siku Mo naye aliteleza kwa ku quote mstari ya nyimbo ya Mwana Fa kwamba " vipo vitu vingi vya kumuomba Mungu kabla ya kumuomba utajiri"..Mbona kilinuka kule insta
 
Mkuu unawaza kama mimi kweli kuna ka ushamba flani anako sema hadi uwe mjanja sana ndo utaweza kugundua ni kama masanja
Hebu ona hii... hii ni moja ya element za kaushamba tunasema hapa. What the is hell?

Screenshot_20210712-143739_Instagram.jpg
 
hivi ni kweli ana hela au promo tu!? anaendesha gari gani? nasikia alimuibia demu moni
Hela za kubadilishia mboga anazo lakini hela zake zina utata mno, yaani chini ya miezi 6 tu jamaa kaibuka. Si unajuwa historia ya Wakinga lakini, sina haja ya kusema mengi ila hapa mjini wanafahamika hata Mpemba anawaogopa kuingia nao vitani. Kuhusu kumuibia domo demu inawezekana maana wote ni washamba wa kipochi manyoya.
 
Jongwe hajawahi kuwa mshamba tangu 90 yupo town inawezekana anazidisha sigara kali
Sasa Sugu unamtofautishaje na Fred Vunjabei kwa ushambaushamba, Sugu huwezi amini kama alikuwa Mjini tangu henzi kundi la hiphop la watoto wa kishua la Diplomatiz yaani yy utadhani mjini kaja baada ya uchaguzi wa Oct, 2015
 
Kuna jamaa tulikua naye arusha alikua analima vitunguu huko mang'ola na kumiliki fuso kadhaa,alikua na pesa balaa alikua anaweza kuvuna vitunguu kuanzia mwezi wa tano hadi wa kumi na moja na kla baada ya siku tatu mzigo unaenda nairobi, huyu jamaa( marehemu ) alikua akipenda bata kupita maelezo siku moja nikamshauri kwamba ajaribu kupunguza bata a pay attention zaidi kwenye buashara, akaniambia ndugu yangu acha nile maisha nimebakiza miaka minne tu ya kuishi, nilidhani uenda ana ngoma na kashakata tamaa, mwaka huu nilikutana na ndugu yake akaniambia jamaa alifariki mwaka jana, na kabla ya kufa alimwita mjomba wake akamueleza kwamba pesa zake zilikua za masharti na muda wake umefika wakati wowote atakufa. So vunja bei mwachane ale hizi pisi.
Tatizo ni ushamba alionao vunja bei,,
anadhani mwanaume bila kuhonga mwanamke pesa kibao kwamba mwanamke humpati.

Amefika mbali zaidi kwa kuwahamasiha wanawake waombe pesa wanaume zao.
Kwamba usipomuomba mwanaume pesa,,yeye anaona hakupendi .
Na sio pesa ndogo,,

Akaenda mbali zaidi kwamba yeye akiombwa pesa na mwanamke anaona ufahari na raha isiyo kifani kumtimizia shida zake..
Wakati hao wanawake anaotamba nao,watu wanawapata kwa kujiramba midomo tu.,,na swaga za kigengleman na
Wala pesa hawatoi.
Mwanamke kama Hamisa mobeto watu washazalisha watoto 2 ziwa lishakuwa sikio la tembo,,nae ni mwanamke wa kumfungulia duka?
Baadae akaachwa akaanza kulialia mitandaoni

Huoni kama huyu vunja jungu ni zaidi ya pimbi?

Mwanaume akiwa na pesa na bado anaachwa na mwanamke basi ana matatizo makubwa yasiyoelezeka.

Alisikika muhunga mmoja wa zamani.
 
Hili asipoelewa ahamie Gaza
 
Awafai wahuni
Niliachaga kuamini mwanamke kipindi nikiwa na mwanamke namuamini sana tena sana. Nilikua nikikaa na washkaji nikisikia story za wao kuchapiwa, nilikua nawashangaa.

Nilijiona napaa siku nilipokuta meseji ametumiwa boss wa manzi yangu inamuita "mume wangu"

Aisee nilihisi sio mimi, yaani mwili ulipata moto hatari. Nilikua natamani kile ninachokiona kisiwe kweli...

Tangu siku hiyo siamini kitu kinaitwa mwanamke
 
Hahahhah mwanzo ulihisi wenzio wana Gundu tu au sio!? Hio mesej inaleta emotion ya ajabu sana yani moyo unachanika “Pwaaah”
 
Back
Top Bottom