Kuchimba Thamani, Kujenga Kesho
(Unlocking Tanzania’s Golden Potential)
Vunjabei Gold Ltd ni kampuni ya madini inayojikita katika utafiti, uchimbaji, uchakataji, biashara na uuzaji wa dhahabu nchini Tanzania na masoko ya kimataifa.
Kwa kutumia utaalamu wa kitaalamu, teknolojia za kisasa na...