Ujumbe mzito kutoka kwa Ex's

Ujumbe mzito kutoka kwa Ex's

Hivi....
Inakuaje watu mnaangukia mabaya ya hao X's wenu...[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Shubamit.....[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kwani hakuna mema walio wafanyia hao zilipendwa na hata mseme mabaya yao pekee....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Anyway.....
Ebu ngoja niweke mwani wa kusomea mujarab
 
My dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.

Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!
Awesome... i like it
 
"Mi ndio maji usiponinywa utanioga, usiponioga hata chooni utanitumia, usipontumia chooni utanifulia nguo zako nenda mwanakwenda", hapa still unampenda but unajifanya mwache aendee [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kudadeq [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Dear X am doing just fine and btw thanks for letting me go
 
Nashukuru japo ulikuwa kati ya wanaume walionipenda kwa dhati na ulisema huitaji kunigusa mpaka ndoa ila tamaa zilinikumba na kukusaliti. Japo now ni mke wa mtu ila sitachoka kukuomba msamaha ili nitengeneze amani nawe na si kwamba nataka kurudiana nawe najua hiyo haitakua na kamwe siwezi ruhusu hilo ila nachoamini kwa upendo uliokuwa nao kwangu ulikuwa mkubwa mno sikustahili kukufanyia niliyofanya I am so sorry G.
 
Imenigusa sana

Dear Ex(s),

Naendelea vizuri na huyu mwanaume nilie nae. Nampenda sana. Pole kwa kukupotezea muda.
S.
 
My dear Ex

Nimepata habari umetolewa posa
Umepata kibosile mwenye pesa
Kwangu ulifuata kiki kuishi na mimi usafirie nyota
Kweli kisichoridhiki hakiliki
Ona unavyonitesa
Kwenye harusi nitakuja nione walivyokupamba
Ninajua itaniuma ila nitajikaza
Nitaleta na zawadi nitampa mkono jamaa
 
Dah, we jamaa bana...!!! ALIFUATA KIKI KWAKO..??? Wewe ni maarufu sana eeh..?? Kama hutajali, may I know dat...!!! Ila respect whoever she is no mata wat..!!
 
My dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.

Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!
Kwahyo upo single saivi?
 
Back
Top Bottom