Ujumbe mzito kutoka kwa Ex's

Ujumbe mzito kutoka kwa Ex's

Alinipenda sana, alifanya kila alichoweza ili nione thaman ya upendo wake kwangu. Alinibeea zawadi kila alipopata nafasi kwenda town. Alikuja geto akafua, alipika, akaosha vyombo, akatandika kitanda na kila kazi. Weekend alipokua haendi kazin tulishinda ndani kwangu kutwa nzima.

Sijui nilikua na akili gani aisee...Alinifumania akalia sana..nilimbembeleza anisamehe na kum promise sitorudia tena, ilibaki kidogo aniache kipindi kile lakini baada ya dada angu mmoja kumbembeleza sana akakubal kurudisha moyo wake nyuma. Nilimhakikishia sitofanya ujinga tena, akarudisha imani yake kwangu na mapenzi yakaendelea...

Lakini bado sikuacha ule mchezo japo wakat huu nliufanya kwa siri na umakin zaidi japo walikuja kuharibu wahenga tuu pale waliposema kila lenye mwanzo lina mwisho wake, wiki mbili tuu baadae akaja kunifumania tena na mwanamke yuleyule...ooh why did i hurt that innocent heart kwa kiasi kile.

Now anaonekana ana furaha na hanichukii, she calls kuuliza naendekea vipi na hali na vitu kama ivo..ameamua ku move on.,

Shida nnayopata huku sijui hata nielezeeje..janamke babe babe tuu likija hata lilale siku mbili halijishughulishi na kazi yoyote, chakula halipiki eti tukale mtaani, tukipita sehem anachagua vitu na kuweka kwene mkoba kisha ananitumbulia macho hapo anasubiri nilipe.
Usiwaze sna mkuu ndo Wanaume tulivyoumbwa hivyo,,stori yako haitofautiani sna na yangu asee
 
Nashukuru japo ulikuwa kati ya wanaume walionipenda kwa dhati na ulisema huitaji kunigusa mpaka ndoa ila tamaa zilinikumba na kukusaliti. Japo now ni mke wa mtu ila sitachoka kukuomba msamaha ili nitengeneze amani nawe na si kwamba nataka kurudiana nawe najua hiyo haitakua na kamwe siwezi ruhusu hilo ila nachoamini kwa upendo uliokuwa nao kwangu ulikuwa mkubwa mno sikustahili kukufanyia niliyofanya I am so sorry G.
ha ha,,muache mwana na maisha yake,
 
ex mwenye heshima kwngu ni mmoja tuu,,wengine vicheche tuu hawana majambo
 
Dear X.
I am writing to inform you that I tested positive for HIV, hepatitis B and HPV 16 & 18. I strongly recommend that you take appropriate action.
 
hahahahaha mie sinaga mahusiano rasmi ni vululu vululu, naumiza na kuumizwa kwisha habari.

ila now nko kwenye msoto wa maana, nikizikamata kuna digidigi flani ntamwonesha video.
 
hahahahaha mie sinaga mahusiano rasmi ni vululu vululu, naumiza na kuumizwa kwisha habari.

ila now nko kwenye msoto wa maana, nikizikamata kuna digidigi flani ntamwonesha video.
Hahahaaaaaaa atakoma huyo mbona duuuh
 
magufuli ana kazi ya kuongoza watu broke kama hawa
 
Bc
Asee the best text katika uzi huu ni za ladies, yani kina dada wana dedication text nzuri heart touching, conglatltn

usiniulize nimewajuje kina dada humu ndani [emoji49] [emoji49] [emoji49]
Bcoz Mara nyingi
wao ndo wanaacha, so they feel guilt
 
Back
Top Bottom