Ujumbe mzito kutoka kwa Ex's

Ujumbe mzito kutoka kwa Ex's

My dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.

Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!

Asante my dear X.....usije rudia ulichonitendea mimi ...wengine hawana moyo wa kuvumilia.,nafikiri umenielewa...take care....God Bless you
 
Uliniambia nitakukumbuka nilidhani nikauli yamkosaji kumbe nikweli aisee leo hii natamani nirudishe siku nyuma ili nianze natabia njema ila ndio hivyo ishachelewa maana tayari ulishapata boy mwingine natayari umemzalia watoto wawili (mapacha) dah aisee unaweza kulia acha2 niishie hapa
 
Ujumbe wa kwanza umwendee niliemuacha
Kwa kwel nisamehe sna skua na njia nyengine nilistahili niowe tu mtu ambae tumetoka mbal sna na kukutana na changamoto nying na tukavumiliana
Najua uneumia sna ila utaelewa tu ipo sku ila najua nilihakikisha sifanyi na ww mapenz ili usije kuumia zaid hapo baadae kila unaponifkiria natumai utaelewa why nilifanya ivo pia

Ingawa unanichukia nakutakia maisha mema
I am so sory
 
aliniacha mkuu .anapitia hali ngumu vibaya yaani Mungu ni mwema sana.halafu ananiamini sana eti mimi ndo mfariji wake ananitegemea . mimi na yeye wapi na wapi jamani? aliniacha acha tu nilivokuwa nampenda .
Kila siku unaachika wewe...hivi unatatizo gani lakini??ni kweli mashine tofauti na muonekano wako?
 
Auwezi chukia mahusiano Kwa kuachana na kimada mke au mume we lia
 
Uliniambia nitakukumbuka nilidhani nikauli yamkosaji kumbe nikweli aisee leo hii natamani nirudishe siku nyuma ili nianze natabia njema ila ndio hivyo ishachelewa maana tayari ulishapata boy mwingine natayari umemzalia watoto wawili (mapacha) dah aisee unaweza kulia acha2 niishie hapa
Yamekufika shingoni
 
Ujumbe wa kwanza umwendee niliemuacha
Kwa kwel nisamehe sna skua na njia nyengine nilistahili niowe tu mtu ambae tumetoka mbal sna na kukutana na changamoto nying na tukavumiliana
Najua uneumia sna ila utaelewa tu ipo sku ila najua nilihakikisha sifanyi na ww mapenz ili usije kuumia zaid hapo baadae kila unaponifkiria natumai utaelewa why nilifanya ivo pia

Ingawa unanichukia nakutakia maisha mema
I am so sory
Najaribu kujiweka miguuni pa Hugo ex wako mpendwa, duh nahisi maumivu makali, kumbe ulikuwa unatafuta pa kupumzikia tu, ili ukisha kuwa okey urudi kwa mwenyewe.
Asante mungu anakuona ujue
 
Dear X

Asante kwa kuniacha, Nimepata mwingine zaidiyo[emoji13]
 
My dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.

Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!
Nimeipenda hii
Sio umeachana na mtu kazi kuombeana mabaya tu
Me nkimpenda mtu napenda awe ma furaha milele whether niwe nae au tumeachana that's real luv other wise ni unafiki kusema unampenda kwa dhati kisa upo nae ila ukiachana nae umamuombea mabaya that's selfishness
 
Dear ex pole na maswahibu niliyokufanyia nilikunyang'anya iphone niliyokununulia.. Ila muda mfup ukapata tecno ya tochi ukaniambia umenunuliwa simu mpya na dume mwingine.
Pole sana I wish ningekunyang'anya na Yale magauni.
Pole sana ndo mikasa ya mapenz my dear ex[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tunazidiana investment ila wengi wahanga humu
 
Nimeipenda hii
Sio umeachana na mtu kazi kuombeana mabaya tu
Me nkimpenda mtu napenda awe ma furaha milele whether niwe nae au tumeachana that's real luv other wise ni unafiki kusema unampenda kwa dhati kisa upo nae ila ukiachana nae umamuombea mabaya that's selfishness
Mimi nafurahi aliyekuwa mke anatunzwa vizuri saana na jamaa mwanaume wa ukweli. Nafurahi sana. Aliyekuwa mke wangu kanenepa kama mbuyu.
 
Back
Top Bottom