Ujumbe mzito kutoka kwa Ex's

Ujumbe mzito kutoka kwa Ex's

Namwambia akafie mbele, namwombea mabaya atapata mtu wa kumtesa kwani mm aliniona ni boya nilivyokuwa mwaminifu kwake
Hivi uaminifu ndo kila kitu kwenye mahusiano? Ukiwa mwaminifu ndo umemaliza kazi?
 
Bwege we mi sina amani vyuma vimenikazia,tangu uniache sababu ya pedeshee sina amani,bby rudi plz na hata ukipata mwingine mungu anilipie na kweli nina kibamia ila ndo unitangaze nakuchukia ka joyce kilia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ur x is ur future wife, respect her whatever it takes.
 
My dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.

Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!
 
Nimekupenda bure
 
Sometimes huwa nashindwa kutafsiri vema... Maneno.... *Mungu akupe wa kufanana nawe*

Mfano. "Ex" wako alikuwa mlevi, mkorofi, mgomvi, malaya.. and the like... So pata picha Maombi yakajibiwa akapata wa kufanana naye...!!!
 
My dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.

Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!
Chaaaa ,, meseji hiii imenifanya kukumbuka Uzi wajamaa akiuliza ??

*Nikwann Wanawake huwa hawaachani na Ma x zao kabisa au wanaume walowazalisha*.

Lakini pia umenifanya nikumbuke Uzi wajamaa akilalamika *Kwann mke wake amezimia aliposikia X wake amevuta* .

Lkn bado umenikumbusha Uzi wajamaa akisema *Nmemuoa lkn bado anamawasiliano na X wake*.

Nmekumbuka tu and nothing else !!!.[emoji23] [emoji109]
My dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.

Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!
 
Sometimes huwa nashindwa kutafsiri vema... Maneno.... *Mungu akupe wa kufanana nawe*

Mfano. X wako alikuwa mlevi, mkorofi, mgomvi, malaya.. and the like... So pata picha Maombi yakajibiwa akapata wa kufanana naye...!!!
Wakufanana nae sio matendo my dear, kuna ambaye yupo anaeweza kusimama nae kwenye maisha!! Hayo uyasemayo ni ziada sana na yanarekebishika kabisaaa!!!!
Kuna vitu huwezi badili mfano kabila, na wengine dini...
 
Daaah huyu jamaa hana bahat kabisa yaan anakuachaje kirahis hvyo
Aiseeee embu soma upya hayo maelezo utayaelewa zaidi
**Hayo tulikua nayo kwa kiwango kikubwa -----

Niseme Hakumuacha ,isipokua **** Sababu nyingine ,Wenda sakieneo ,au kiimani N.K.

Hawa waivi ,,huwa wakikutana nirahisi kukumbushiana [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Daaah huyu jamaa hana bahat kabisa yaan anakuachaje kirahis hvyo
 
Chaaaa ,, meseji hiii imenifanya kukumbuka Uzi wajamaa akiuliza ??

*Nikwann Wanawake huwa hawaachani na Ma x zao kabisa au wanaume walowazalisha*.

Lakini pia umenifanya nikumbuke Uzi wajamaa akilalamika *Kwann mke wake amezimia aliposikia X wake amevuta* .

Lkn bado umenikumbusha Uzi wajamaa akisema *Nmemuoa lkn bado anamawasiliano na X wake*.

Nmekumbuka tu and nothing else !!!.[emoji23] [emoji109]
X wa mtu sio adui na hata adui yako akifariki lazima ushtuke, sie ni binadamu na haya ni maisha tuu!! Unaweza kataa machoni lakini rohoni wakubali. Uweke kinyongo ili iweje!! Na sio kila mmoja akiachana na basi wanarudiana tena, watu hatufanani na pia kinyongo huumiza nafsi... Samehe ishi maisha yako!!
 
Wakufanana nae sio matendo my dear, kuna ambaye yupo anaeweza kusimama nae kwenye maisha!! Hayo uyasemayo ni ziada sana na yanarekebishika kabisaaa!!!!
Kuna vitu huwezi badili mfano kabila, na wengine dini...
Sio guarantee kuwa yanarekebishika on the spot. Sometimes yanarekebishika when its very late.... mkiwa Wazee.... Tehe ....
 
Back
Top Bottom