Ujumbe mzito kutoka kwa Ex's

Ujumbe mzito kutoka kwa Ex's

Akilitime

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2017
Posts
581
Reaction score
763
Habari Jf members!
Ninaamini kila mmoja ana story take unique katika tasnia hii pendwa ya malove Doveee,

Wengi tumeacha na kuachwa bila sababu na sababu za msingi katika kuacha.
LEO HII UNA NENO GANI LA KUMWAMBIA EX ALIYEKUACHA SOLEMBA UNGALI UKIMPENDA?
AU UNA LIPI LA KUMWAMBIA ULIYEMWACHA ANGALI AKUKUPENDA WEWE?
 
Nashukuru sana kwa kuniacha Japo kwa wakati ule nilidhani sitompata Kama yeye kumbe Mungu kamwandaa mwingine amabe kwa uzuri na sura hata nimzidishe ex X 10000 haezi mfikia, tabia ndo usiseme!
Acha kutuongopea mkuu, eti Mara 100000
 
Anisamehe sana kwa kumuumiza vile, huku nilipo ni mateso tuu..natamani nirudishe muda nyuma nisimkosee tena lakini nd ivo haiwezekani. You're so missed Baby J
Duh bitter to be swallowed, Mungu akupe wepesi, mungu anasikiliza nafsi yenye majuto, but its better ukamwomba msamaha personally then urafiki kati yenu uendelee
 
My dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.

Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!
 
"Mi ndio maji usiponinywa utanioga, usiponioga hata chooni utanitumia, usipontumia chooni utanifulia nguo zako nenda mwanakwenda", hapa still unampenda but unajifanya mwache aendee [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Bwege we mi sina amani vyuma vimenikazia,tangu uniache sababu ya pedeshee sina amani,bby rudi plz na hata ukipata mwingine mungu anilipie na kweli nina kibamia ila ndo unitangaze nakuchukia ka joyce kilia
 
Daaah huyu jamaa hana bahat kabisa yaan anakuachaje kirahis hvyo
 
"Mi ndio maji usiponinywa utanioga, usiponioga hata chooni utanitumia, usipontumia chooni utanifulia nguo zako nenda mwanakwenda", hapa still unampenda but unajifanya mwache aendee [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Haaaàaaa sasa akienda je?
 
Bwege we mi sina amani vyuma vimenikazia,tangu uniache sababu ya pedeshee sina amani,bby rudi plz na hata ukipata mwingine mungu anilipie na kweli nina kibamia ila ndo unitangaze nakuchukia ka joyce kilia
Mkuu umeamua utunge wimbo kabisaaaa
 
Back
Top Bottom