Ujumbe mzito kutoka kwa Ex's

Ujumbe mzito kutoka kwa Ex's

My dear Ex

Nimepata habari umetolewa posa
Umepata kibosile mwenye pesa
Kwangu ulifuata kiki kuishi na mimi usafirie nyota
Kweli kisichoridhiki hakiliki
Ona unavyonitesa
Kwenye harusi nitakuja nione walivyokupamba
Ninajua itaniuma ila nitajikaza
Nitaleta na zawadi nitampa mkono jamaa
Duh kumbe hadi nawe kwenye mapenz umo? Nljua magari tu.
 
T wng bana, namkumbuka sn aisee..!!! Nilikuwa nae chuoni. I wish I wud.........!!! Ila kila akiniona hata leo, salamu inakuwa shida sana tho ni miaka kadhaa imepita. Sasa hv yupo CRDB ( Branch sisemi)
 
My dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.

Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!
Huu nuukopi ntautumia punde
 
Na hilo jicho ulivyolikaza. Kuna kijana anaitwa Marwa mwanafunzi Sua naskia kamnyonga mpenzi wake hadi kufa. Sasa kuwa strong maana we ndo upo kwao[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mkurya wangu muoga
 
aliniacha mkuu .anapitia hali ngumu vibaya yaani Mungu ni mwema sana.halafu ananiamini sana eti mimi ndo mfariji wake ananitegemea . mimi na yeye wapi na wapi jamani? aliniacha acha tu nilivokuwa nampenda .
Mwanamke ukiachwa inabidi ujiangalie ulipokosea. Kweli unashindwa kumshika mwanaume asifurukute? Mbona uwezo mnao mkubwa tu sema mmekua makauzu hamtaki kutusikiliza sisi wanaume. Pole lakini haikupangwa
 
Asee the best text katika uzi huu ni za ladies, yani kina dada wana dedication text nzuri heart touching, conglatltn

usiniulize nimewajuje kina dada humu ndani [emoji49] [emoji49] [emoji49]
 
Back
Top Bottom