Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,488
Mwanaume anatengenezwa na mwanamke!!Sio guarantee kuwa yanarekebishika. Sometimes yanarekebishika when its very late.... mkiwa Wazee.... Tehe ....
Mwanaume anatengenezwa na mwanamke!!Sio guarantee kuwa yanarekebishika. Sometimes yanarekebishika when its very late.... mkiwa Wazee.... Tehe ....
My dear X,
Naamini haukuwa mpango wa Mungu tuishi pamoja, yote yanayotokea kwenye maisha yetu yana sababu.
Sisi ni binadamu, tuna mapungufu pia. Kuishi na binadamu yahitaji uvumilivu, busara na hekima pia. Hayo tulikuwa nayo kwa kiwango kikubwa lakini niseme haikuwa imepangwa tuwe wa kufa na kuzikana.
Mimi nina amani pamoja na yote yalotekea, naanimi nawe una aamani pia.
Mungu akupe wa kufanana nawe my dear X!!!
Nmekumbuka tu and nothing else[emoji23] [emoji23] !!.X wa mtu sio adui na hata adui yako akifariki lazima ushtuke, sie ni binadamu na haya ni maisha tuu!! Unaweza kataa machoni lakini rohoni wakubali. Uweke kinyongo ili iweje!! Na sio kila mmoja akiachana na basi wanarudiana tena, watu hatufanani na pia kinyongo huumiza nafsi... Samehe ishi maisha yako!!
Halitokaa litokee mileleVipi kuhusu kurudisha majeshi vitani?
SawaNmekumbuka tu and nothing else[emoji23] [emoji23] !!.
Sema nn , maelezo yako niyaukakasi sana yaan ni blurred !!.
Mtu akitulia tu ,lazima atang'amua end point ya mahusiano yenu !!.
Chakukushauli ,, siku nyingine "Fanya uchaguzi sahihi Wa Maneno ,,Maneno ambayo hayatoleta ukakasi kwa MTU ulonaye".
Maelezo yako nikwamba ," Hamna kati yenu alopanga kuachana namwenzake ,, maelezo yako nikwamba kilichotokea kilikua nje ya uwezo wenu ryt??? [emoji23] [emoji23] yaaan kwalugha nyingine Hamkuwahi kutoana mioyoni yaan hamkuwah kuachana ,isipokua kuna sababu ndo 'ziliwatenganisha'.
Hahahahaha nyie wahivo sio lazima mrudiane ,,ila mnapokutana na mkikumbukia Yale mloyafanya na nakwamba Mlitengana nasio Kuachana ,,nyie huwa nirahisi kukumbushiana [emoji12]
BADO SIJAMAANISHA KUACHANA NIUADUI !!!.[emoji12]
Mkuu hatutakiwi kupenda 100% mapenzi yatakupoteza ni asilimia 15 tu kupendaNamwambia akafie mbele, namwombea mabaya atapata mtu wa kumtesa kwani mm aliniona ni boya nilivyokuwa mwaminifu kwake
Naonekana ulimpenda zaidi mkuu, ila ndo vivo wajanja walimpenda zaidi, mshukuru mungu saivi unalo binge LA QueenieDear X,Nikikutia machoni tena ntakudanganya turudiane,ntakula papuchi alafu nikumwage mchana kweupe paka wa kike wewe,hasidi mkubwa....Na incase hujui,ni miaka miwili now kwenye ndoa na mwanamke better than u.
Sijawah natania tuHujawai kupenda?