Ujumbe kwa wanaume wote tulio kwenye mahusiano tunapouanza mwaka 2024

10. Haijalishi ni kwasababu ya punyeto au sababu nyingine kama umeshapoteza Nguvu, solution ipo, kikubwa commitments, Pesa, Muda na Kujitoa.

[Matibabu yapo na unaweza kuamua leo kwamba unataka kupona, utapona]
Mkuu, hiyo dawa yako ni bei ngapi?
 
Mkuu wanaume wenye akili wangeliprint hili Bandiko waliwekee lamination walitundike gheto ila Kwa kuwa wengi ni wabishi waache
 
GENTLEMAN OF 2024 FAHAMU [10] KUKUHUSU.

1. Kumwaga bao wakati unamuandaa mwanamke (foreplay) hata bado haujaingia Ukeni don't take it easy, hilo ni tatizo.

2. Kuwahi kumwaga kila round, angalau kwa round ya kwanza, ila kwa zinazofuata hilo ni tatizo, changamka.

3. Kuwahi kufika kileleni Kila siku unamtesa mkeo, usione halalamiki ukweli anakuvumilia tu akichoka Ndoa utaipoteza.

4. Moja ya sababu mwanamke kukutii kwa upendo ni pamoja na kuridhishwa kimapenzi kitandani, do your best bro!

5. Acha story za vijiweni kujifariji if you have money inatosha mwanamke kutulia, ukweli hata wewe Mwanamke awe na pesa asikupe mapenzi usingekubali... Infacts hisia hazinunuliwi.

6. Inawezekana 2023 ulipoteza nguvu ya ushawishi kwenye ndoa yako kwasababu ya udhaifu wako kitandani, dk 2 huwezi tena utawezaje Kucommand kwa mkeo? Inafikirisha!

7. Mwanamke hayupo kwako kupunguza ukali wa maisha bali kujipatia asichoweza kupata kwa ndugu zake, ndio maana hakukubali kudate na hanithi.

8. The more you're too Good on Bed ndivyo una win moyo wa mwanamke wako, hili hautafundishwa popote isipokuwa leo hii, ukipuuza ni wewe.

9. Ukishahisi una tatizo kuanza kumeza vidonge vya kuboost siku moja moja unapokuwa na game, ni hatari bora ubaki mdhaifu uendelee kuaibika polepole...

10. Haijalishi ni kwasababu ya punyeto au sababu nyingine kama umeshapoteza Nguvu, solution ipo, kikubwa commitments, Pesa, Muda na Kujitoa.

[Matibabu yapo na unaweza kuamua leo kwamba unataka kupona, utapona]

NB: Kama hauna uwezo hata wa kupiga round 3, au 2 za maana, wewe ni nani kwa Mwanamke aliyekupa heshima ya kumfunua every day? Changamka!
Kinywa soda nakuja kulipa
 
Ujumbe mzuri sana, ndoainsimarishwa na tendo, bila tendo lililokamilika hakuna ndoa.

BUT, tushauri tuwe na uchumi imara, trust me mahusiano mengi yanapumulia mirija coz uchumi umekuwa hafifu.

2024 pamoja na yote nawashauri tujikite kwenye kuongeza ukwasi.

Happy new Yr jf men!
 
Back
Top Bottom