2024 Mwaka Mgumu Kwa Nyumba za Ibada Afrika

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
2024 unatarajiwa kuwa mwaka mgumu kwa nyumba za Ibada Afrika na mwanzo wa mporomoko wa Makanisa, Misikiti, Jamatini, Mahekaku, Masinagogi na Madhabahu zingine hususan kwa habari ya sakramenti ya ndoa.

Siyo wote tumekirimiwa kipawa cha kuandika kwa umahiri hivyo vumilia lugha iliyotumika usomapo ujumbe ufuatao ambao nauleta kama nilivyoupokea:-

Ujumbe.

Kama ulikua hujui kuwa duniani kuna wanawake ambao ni ROBOT wacha nikufahamishe:-
Unao waona hapo chini sio wanawake halisi ni ROBOT. Wanawake hao ni wanawake walio tengenezwa na kampuni inayo milikiwa na bilionea ELON MUSK.

Kampuni yake ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha bidhaa hiyo ili iingie sokoni. Bidhaa hiyo hujulikana kwa jina la WIFE ROBOT. Bidhaa hiyo inatarajiwa kukamilika rasmi mnamo January 2024 Ambapo wanawake hao ambao ni ROBOT watapatikana madukani.

Lakini pia wataingia Afrika ifikapo Juni 2024. Taarifa kutoka kwenye kampuni hiyo inasema Mtu atakae nunua ROBOT hiyo ili awe mke wake, atakuwa ameokoa matumizi ya pesa kwa kiasi kikubwa Ukilinganisha na kuwa na mwanamke halisi.

Lakini pia ROBOTI hiyo ina ladha kama ya mwanamke halisi, MKE ROBOT anatumia betri la kuchajiwa, ambapo betri inachajiwa kwa siku tatu mfululizo,
Katika siku hizo mwanaume hataweza kukutana kimwili na mke wake huyo ROBOTI.

Kama ilivyo kwa wanawake halisi kwa kufuata mzunguko wa hedhi,
Betri zitachajiwa kwa siku tatu pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja. Ngono na MKE ROBOTI itahitaji uwe na neno la SIRI maalumu.

Neno ambalo ndilo litamfanya yeye akutambue kuwa wewe ndio mumewe,
Yaani Patten au alama ya KIDOLE ili akutambue, Lasivyo hutaweza kufanya nae mapenzi badala yake atabana miguu yake Kwani atahisi kuwa unataka kumbaka wakati yeye ni mke wa mtu.

Na ukilazimisha atapiga kelele ya kuita majirani na kusema unambaka. ROBOTI hizo zina uwezo wa kukata mauno zaidi ya mwanamke wa kawaida, Lakini pia nanilii yake ni tamu balaa kwa mujibu wa ELON MUSK.

Kwa wale musiojua ELON MUSK ndio tajiri namba moja duniani kwa sasa,
Hata wewe mwenye mke unaweza kununua ROBOTI hiyo na kuiweka ndani mwako kama mke wako na kufanya nae mapenzi kama unavyofanya na mke wako halisi.

Na ukapata ladha na utamu zaidi ya unao upata kwa mke wako. Kwa zile siku ambazo mke atakua anakubania hakupi haki yako.

IMG-20240104-WA0010.jpg
 
Kichwa cha habari kipana, maelezo finyu. Nyumba za ibada sio kwa ajili ya ndoa na mahusiano pekee.

Waamini wake wanajua wanachokipata huko.
 
Unaandika kama gazeti la udaku la Shigongo. Nyumba za ibada zina uhusiano gani na roboti au Elon Musk
 
Linatumia betri, meaning lina umeme, likikupiga shoti kwenye kiungo unachoingilia uko itakuwaje aisee, hapo ndo utata 😂😂
 
2024 unatarajiwa kuwa mwaka mgumu kwa nyumba za Ibada Afrika na mwanzo wa mporomoko wa Makanisa, Misikiti, Jamatini, Mahekaku, Masinagogi na Madhabahu zingine hususan kwa habari ya sakramenti ya ndoa.

Siyo wote tumekirimiwa kipawa cha kuandika kwa umahiri hivyo vumilia lugha iliyotumika usomapo ujumbe ufuatao ambao nauleta kama nilivyoupokea:-

Ujumbe.

Kama ulikua hujui kuwa duniani kuna wanawake ambao ni ROBOT wacha nikufahamishe:-
Unao waona hapo chini sio wanawake halisi ni ROBOT,
Wanawake hao ni wanawake walio tengenezwa,
Na kampuni inayo milikiwa na bilionea ELON MUSK,
Kampuni yake ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha bidhaa hiyo ili iingie sokoni,
Bidhaa hiyo hujulikana kwa jina la WIFE ROBOT,
Bidhaa hiyo inatarajiwa kukamilika rasmi mnamo January 2024,
Ambapo wanawake hao ambao ni ROBOT watapatikana madukani,
Lakini pia wataingia Afrika ifikapo Juni 2024,
Taarifa kutoka kwenye kampuni hiyo inasema,
Mtu atakae nunua ROBOT hiyo ili awe mke wake,
Atakuwa ameokoa matumizi ya pesa kwa kiasi kikubwa,
Ukilinganisha na kuwa na mwanamke halisi,
Lakini pia ROBOTI hiyo ina ladha kama ya mwanamke halisi,
MKE ROBOT anatumia betri la kuchajiwa,
Ambapo betri inachajiwa kwa siku tatu mfululizo,
Katika siku hizo mwanaume hataweza kukutana kimwili na mke wake huyo ROBOTI,
Kama ilivyo kwa wanawake halisi kwa kufuata mzunguko wa hedhi,
Betri zitachajiwa kwa siku tatu pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja,
Ngono na MKE ROBOTI itahitaji uwe na neno la SIRI maalumu,
Neno ambalo ndilo litamfanya yeye akutambue kuwa wewe ndio mumewe,
Yaani Patten au alama ya KIDOLE ili akutambue,
Lasivyo hutaweza kufanya nae mapenzi badala yake atabana miguu yake,
Kwani atahisi kuwa unataka kumbaka wakati yeye ni mke wa mtu,
Na ukilazimisha atapiga kelele ya kuita majirani na kusema unambaka,
ROBOTI hizo zina uwezo wa kukata mauno zaidi ya mwanamke wa kawaida,
Lakini pia nanilii yake ni tamu balaa kwa mujibu wa ELON MUSK,
Kwa wale musiojua ELON MUSK ndio tajiri namba moja duniani kwa sasa,
Hata wewe mwenye mke unaweza kununua ROBOTI hiyo,
Na kuiweka ndani mwako kama mke wako,
Na kufanya nae mapenzi kama unavyofanya na mke wako halisi,
Na ukapata radha na utamu zaidi ya unao upata kwa mke wako,
Kwa zile siku ambazo mke atakua anakubania hakupi haki yako.View attachment 2862389
du!!!,si bora nimwoe jini MAIMUNA!!
 
Kichwa cha habari kipana, maelezo finyu. Nyumba za ibada sio kwa ajili ya ndoa na mahusiano pekee.

Waamini wake wanajua wanachokipata huko.
Hujajuwa the secret agenda ya kuanza kutengeneza Robot Clerics, zinamezeshwa misahafu mizima na kwa vile nyumba za ibada misa na hotba hazihojiwi kama vipindi vya darasani utajikuta nyumba za ibada nyingi zinatumia robot clerics kupunguza mzigo wa kazi na gharama na kupata tija kutokana na uaminifu wa robot kwenye sadaka.

Musk atakuja kuzindua Robot Advocates, Robot Teachers, Robot Pilots, Robot Doctors, Robot Magistrates, Robot Fighters, Robot Husbands, Robot Drivers, Robot Waiters & Waitresses, Robot Lecturers, Robot Bankers, Robot Accountants, Robot Auditors nk nk

AI (Artificial Intelligence) huenda itakuja kupunguza uhitaji wa binadamu kwa 75%, watabaki ma-genius na matajiri tu kwenye sayari karne moja ijayo.

Pengine 10% ya watu wa dunia wapatao 8bl yaani 800,000,000 sawa na 57.14% ya watu wa China pekee ndiyo watasalia. The rest watakuwa useless wasiotakiwa tena kwenye sayari. Kwahiyo wanaosoma watasoma kujifurahisha tu, masikini nao watakuwa mere wastes.

Kama faculty yako haijaelewa na haijaona indicator yoyote kwenye hili basi unastahili Robot i-replace uwepo wako.
 
2024 unatarajiwa kuwa mwaka mgumu kwa nyumba za Ibada Afrika na mwanzo wa mporomoko wa Makanisa, Misikiti, Jamatini, Mahekaku, Masinagogi na Madhabahu zingine hususan kwa habari ya sakramenti ya ndoa.

Siyo wote tumekirimiwa kipawa cha kuandika kwa umahiri hivyo vumilia lugha iliyotumika usomapo ujumbe ufuatao ambao nauleta kama nilivyoupokea:-

Ujumbe.

Kama ulikua hujui kuwa duniani kuna wanawake ambao ni ROBOT wacha nikufahamishe:-
Unao waona hapo chini sio wanawake halisi ni ROBOT. Wanawake hao ni wanawake walio tengenezwa na kampuni inayo milikiwa na bilionea ELON MUSK.

Kampuni yake ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha bidhaa hiyo ili iingie sokoni. Bidhaa hiyo hujulikana kwa jina la WIFE ROBOT. Bidhaa hiyo inatarajiwa kukamilika rasmi mnamo January 2024 Ambapo wanawake hao ambao ni ROBOT watapatikana madukani.

Lakini pia wataingia Afrika ifikapo Juni 2024. Taarifa kutoka kwenye kampuni hiyo inasema Mtu atakae nunua ROBOT hiyo ili awe mke wake, atakuwa ameokoa matumizi ya pesa kwa kiasi kikubwa Ukilinganisha na kuwa na mwanamke halisi.

Lakini pia ROBOTI hiyo ina ladha kama ya mwanamke halisi, MKE ROBOT anatumia betri la kuchajiwa, ambapo betri inachajiwa kwa siku tatu mfululizo,
Katika siku hizo mwanaume hataweza kukutana kimwili na mke wake huyo ROBOTI.

Kama ilivyo kwa wanawake halisi kwa kufuata mzunguko wa hedhi,
Betri zitachajiwa kwa siku tatu pekee na kufanya kazi kwa mwezi mmoja. Ngono na MKE ROBOTI itahitaji uwe na neno la SIRI maalumu.

Neno ambalo ndilo litamfanya yeye akutambue kuwa wewe ndio mumewe,
Yaani Patten au alama ya KIDOLE ili akutambue, Lasivyo hutaweza kufanya nae mapenzi badala yake atabana miguu yake Kwani atahisi kuwa unataka kumbaka wakati yeye ni mke wa mtu.

Na ukilazimisha atapiga kelele ya kuita majirani na kusema unambaka. ROBOTI hizo zina uwezo wa kukata mauno zaidi ya mwanamke wa kawaida, Lakini pia nanilii yake ni tamu balaa kwa mujibu wa ELON MUSK.

Kwa wale musiojua ELON MUSK ndio tajiri namba moja duniani kwa sasa,
Hata wewe mwenye mke unaweza kununua ROBOTI hiyo na kuiweka ndani mwako kama mke wako na kufanya nae mapenzi kama unavyofanya na mke wako halisi.

Na ukapata ladha na utamu zaidi ya unao upata kwa mke wako. Kwa zile siku ambazo mke atakua anakubania hakupi haki yako.

View attachment 2862389
Afrika hii Bado Ina wapumbavu wengi so Jamaa wataendelea kuvuna 😂😂
 
Hayo madude kweny picha hayawezi kuwavutia watu wa africa ...Huku africa hawana soko labda watengeneze weny makali makubwa
 
Hii ni habari mbaya sana kwa kausha damu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom