Ujumbe kwa wanaume wote Siku ya Wanawake Duniani

mmmuhumba

JF-Expert Member
Nov 8, 2017
491
476
Mwanamke ni mwenye ndoto, mwanamke ni mlezi na mwenye moyo wa kusaidia, mwanaume kuzibeba ndoto za mwanamke wako ni heshima.

Mahusiano na ndoa havipaswi kuwa ni kaburi la ndoto za mwanamke.

Tutajifunza, wanawake hufanya chochote kwa mwanaume ampendaye na kikubwa ni kuishi kama moto, kuacha ndoto zake na kukopa, kujituma, kutunza na kumtetea mwanaume wake ili aweze kufika ndoto zake.

#Tuwapende wanawake zetu na tuwasaidie kama wajitoavyo kwetu;
1. Kimawazo
2. Kimali
3. Kinguvu

  • Mnogeshe umpendae.
  • Mwanamke ni pacha wa mwanaume kihisia.
  • Mapenzi bora ni afya ya akili na ustawi wa malezi bora na maendeleo.
  • Mwanamke anayejitambua ujua maana ya kupendwa.

textgram_1678259902.jpg
 
Mwanamke ni mwenye ndoto, mwanamke ni mlezi na mwenye moyo wa kusaidia, mwanaume kuzibeba ndoto za mwanamke wako ni heshima.
Mahusiano na Ndoa havipaswi kuwa ni kabuli la ndoto za mwanamke.
Tutajifunza, wanawake ufanya chochote kwa mwanaume ampendaye na kikubwa ni kuishi kama moto, kuacha ndoto zake na kukopa, kujituma,kutunza na kumtetea mwanaume wake ili aweze kufika ndoto zake.
#Tuwapende wanawake zetu na tuwasaidie
1. Kimawazo
2. Kimali
3. Kinguvu
Kama wajitoavyo kwetu.
#mnogeshe umpendae
#mwanamke ni pacha wa mwanaume kihisia
#Mapenzi bora ni afya ya akili na ustawi wa malezi bora na maendeleo.
#mwanamke anayejitambua ujua maana ya kupendwa.View attachment 2541625
Kuwapenda Ke wenye haiba za kike kitabia kama Mcha Mungu sawa kabisa, ila kumpenda Ke mwenye u-tom boy na u-feminism ni HAPANA, nimekaa pale .
 
Mwanamke ni mwenye ndoto, mwanamke ni mlezi na mwenye moyo wa kusaidia, mwanaume kuzibeba ndoto za mwanamke wako ni heshima.

Mahusiano na ndoa havipaswi kuwa ni kaburi la ndoto za mwanamke.

Tutajifunza, wanawake hufanya chochote kwa mwanaume ampendaye na kikubwa ni kuishi kama moto, kuacha ndoto zake na kukopa, kujituma, kutunza na kumtetea mwanaume wake ili aweze kufika ndoto zake.

#Tuwapende wanawake zetu na tuwasaidie kama wajitoavyo kwetu;
1. Kimawazo
2. Kimali
3. Kinguvu

  • Mnogeshe umpendae.
  • Mwanamke ni pacha wa mwanaume kihisia.
  • Mapenzi bora ni afya ya akili na ustawi wa malezi bora na maendeleo.
  • Mwanamke anayejitambua ujua maana ya kupendwa.

View attachment 2541625
Sasa kwanini hiyo picha huyo mwanamke kageuza Makario au ni Moja ya ndoto na malezi?
 
Sasa kwanini hiyo picha huyo mwanamke kageuza Makario au ni Moja ya ndoto na malezi?
Much Know , kumbe unajua kutazama, kila mtu na tv yake bhana we kama unapenda flat wengine wanapenda vichogo.
Hiyo picha bhana.
 
Uzi ufugwe umamaliza mkuu.
Min me: uhuru wa mawazo ni mzuri. Mwanamke ni mdogo wako, ni dada yako, bibi yako shanazi yako na ni mama yako.
Kuwatunza na kuibeba ndoto yao sio dhambi.
Hebu vuta picha mwanamke mjane na mtoto mmoja tu, ikiwa mume kila chako unamficha, ataishije?
 
Sawa mkuu ila ukifanya ww hayo inatosha .
 
Mwanamke mwenye u-feminism ni hatari kwa maisha ya mwanaume
U-feminist nao una viwango vyake. Wengine ni maslah ya kawaida ya kiungwana ila kuna wale radical femist.
Yote haya ni makovu ya maumbile na jamii ilivyo leta mgawanyo wa majukumu ki umri na kijinsia.
Ipo raha ukiwa na mwanamke muelewa, unainjoy
 
Iyo picha mbona uyo Binti katugeuzia makalio ,kama anajigamba nalo ivi kutukomesha
 
Back
Top Bottom