Ujumbe kwa rafiki yangu

Ujumbe kwa rafiki yangu

Kuna wazazi nao wanachangia watoto kuvunja ndoa zao. Aisee kuna familia kama hujarudi na barua ya maelezo au talaka, au simu basi rudi kwa mumeo, unless kuna ugomvi mkubwa kati yenu na unajulikana kwa wazazi na walishajitahidi kusuluhisha before bila mafanikio. Unampokeaje mke wa mtu bila taarifa yoyote kutoka kwa mumewe, tena anakaa nyumbani zaidi ya miezi 8 mmh? ?? Au wanakutegeshea uende, labda kuna mashtaka kakusemea kwao lol, but kama wazazi walipaswa kukutafuta
wazazi wengi wamekosa hekima
 
Sipendi mwanamke anayeropoka na kufoka foka aisee pia wanaume wanavumilia jamani yani kuna dada niliwahi kukaa nae tena kwa miezi 4 tu na tunaonana mda wa kulala jamani alikuwa ananikera maana ni mchafuuu halafu sio mstaarabu ila sasa hivi kaolewa yani mume wake huwa nikimuona namuonea huruma sana.
 
mtoto wangu atakemewa panapostahili kukemewa,ataadhibiwa atakapostahili adhabu...........kwa namna yoyote ile mtoto wangu atastahili the best of care kwenye angle zote akiwa kwao na watu wanaomuhusu.labda la uchafu kwangu linaweza vumilika.ila kwa mtoto hapana!!
under NO circumstances will i tolerate any form of mistreatment verbally or physically on my kids AND IN THIS NO ONE IS EXEMPTED,EVEN THEIR MOTHER!
mwanamke aninyanyase mimi awezavyo, a misbehave awezavyo kwangu ila kutowaangalia vema wanangu ni kosa lisilosameheka hakika!
yani mi naweza badili papmers na kum keep mtoto afu mamake aite mschana!?..Mungu apishie mbali nitakachomfanya
 
Nashangaaga watu wa hivi wanapataje waume?Yaani kuna watu wametulia sana lkn kuolewa hawaolewi kweli ndoa ni riziki na kila mtu ana fungu lake.
 
Miss chagga kunisemea mie Wangu kwa kweli nimefurahi sana....mie nilishachokaaaa. Naomba nikupe namba yake umshukie kule insta na wasap. Jifanye kungwi wa jamii umnyee unisaidie la sivyo naanza kula beki 3 kuleta heshima nyumbani. Nishachoka mie ..argghhhhh.
Tatizo mnaoa wanawake wa mapambo ambao hawajui wajibu na majukumu yao kama wake!
 
Back
Top Bottom