Miss Chaga,mm nmeishi na mke miaka saba,hii harus ilifanyikia mbez beach maeneo ya makonde,ilikuwa june 2009,huyu mke hakujua kunitengea maji ya kuoga wala kuninyooshea nguo,anafoka,ana matusi nilitaman ardhi ipasuke ,nikamuomba sana Mungu maana nilikuwa naogopa hata kurud nyumban,mambo yalikuwa mengi, ndo siku Moja alijifaragua akaondoka nilimshukuru Mungu,leo ni miez nane yuko kwao na mimi niko kivyangu.Sitaman hata kumuona.Mtu niliyejitesa kwa ajili yake anakuwa mtu wa kunidhalilisha ,iliniuma saanaaa.wanawake wengine wanataka waume wawe watumwa ukiwa tofauti inakuwa shidaaa