miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
- #61
nalipa kodi tanzania ya viwanda si rahisiNdio mana akasema kuwaambia SIJARIBIWI, ALhamis yote hii, mshafunga ofisi! Mnamjaribu!
nalipa kodi tanzania ya viwanda si rahisiNdio mana akasema kuwaambia SIJARIBIWI, ALhamis yote hii, mshafunga ofisi! Mnamjaribu!
Mambo Miss Chagga?huku kwa wanaume wa dar tunaanzaga alhamisi tunamalizia jumamosi .. jumpili ibada
Hongera. Tunavuka malengo ya makadirio kila mwezinalipa kodi tanzania ya viwanda si rahisi
pouwa za kwakoMambo Miss Chagga?
si kazi ndogo mkuuHongera. Tunavuka malengo ya makadirio kila mwezi
wasipo elewa wataishia kulalamika tu kumbe wanatengeneza shetani wao wenyewe na ipo siku atawageuka na kuwamalizaHongera sana miss chagga. Kumbe wanawake wanaojitambua bado wapo wengi. Big up!! Kuna cha kujifunza kwa wenye akili. Ila wale wa mwendokasi sijui kama watakuelewa.
mwanaume mzima unashindwa kusimamia mambo ya nyumbani kwako huna aibu kujitaja hapaMiss chagga kunisemea mie Wangu kwa kweli nimefurahi sana....mie nilishachokaaaa. Naomba nikupe namba yake umshukie kule insta na wasap. Jifanye kungwi wa jamii umnyee unisaidie la sivyo naanza kula beki 3 kuleta heshima nyumbani. Nishachoka mie ..argghhhhh.
mwanaume mzima unashindwa kusimamia mambo ya nyumbani kwako huna aibu kujitaja hapa
Hilo neno nimechoka mie...Miss chagga kunisemea mie Wangu kwa kweli nimefurahi sana....mie nilishachokaaaa. Naomba nikupe namba yake umshukie kule insta na wasap. Jifanye kungwi wa jamii umnyee unisaidie la sivyo naanza kula beki 3 kuleta heshima nyumbani. Nishachoka mie ..argghhhhh.
ngoja aje mwenyewe?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Makavu live
Wewe ni ndugu yake ney wa mitego nini?
Unatafuta kama jina lako...ukipata utakuja kujitaja hapa....by the way...dont believe everything you read....some are fabrications to keepbthe ball rolling at the field.mwanaume mzima unashindwa kusimamia mambo ya nyumbani kwako huna aibu kujitaja hapa
MhhhYaani kuna wanawake wengine utasema wameolewa kwa bahati mbaya....