Ujumbe kwa rafiki yangu

Ujumbe kwa rafiki yangu

kuna shogangu hapa hadi chupi za mume anafua housegirl
hata kuanua tu zikikauka hatoi kwenye kamba zitakaa hapo wee zinadondoka mapaka zinachoka
ndoa yake nae ipo hoi
me hata sinaga cha kumshauri maana ni mvivu balaa
Huyu wangu wa humu jf, yeye hua namfulia makabati yote hata yale mengine akiwa ameyapaka rangi.
Sjui kanitengeneza kwa fundi
 
Miss chagga kunisemea mie Wangu kwa kweli nimefurahi sana....mie nilishachokaaaa. Naomba nikupe namba yake umshukie kule insta na wasap. Jifanye kungwi wa jamii umnyee unisaidie la sivyo naanza kula beki 3 kuleta heshima nyumbani. Nishachoka mie ..argghhhhh.
 
jamani we mtumie tu huu ujumbe ajiongeze ... hii tabia siyo nzuri wao wanadhani ni sifa kuwa kama remote controller
 
Back
Top Bottom