Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

Ujumbe huu uwafikie Askari wa JWTZ

Eti hana Boss. Mshenzi kweli.

Hawa ndiyo wanaleta ujuaji. Alafu wakipigwa wanatia huruma.
We Dr huna akili kumbe pale ulipo edit na kuwa taja sijui mkuu wa kambi sijui brig, cos ,cdf na ushenzi gani ni mambo ya mifumo na utawala ya kijeshi jeshi halina Boss ni kazi ya watu, kazi ya Wanachi. Mambo mengine ni yaki jeshi haya andikik hapa, usilelte ujuaji hapa hivi sio vidonda. Halafu swala la kupigwa katika mapambano ni timing tu sio swala zito sana Ondoa ujinga akilini. Ego will kill u
 
Ushatuona sisi firigisi we jamaa?
Nilipoona notification yako nikajua tu utakuwa umeandika UPUMBAVU!... nakujuaga

we usitafute sifa hapa... usikute unayebishana nae ukibahatika kumuona na kumjua akikutolea kitambulisho ukaishia kukakamaa kwa saluti na kujambajamba kuomba misamaha
 
We Dr huna akili kumbe pale ulipo edit na kuwa taja sijui mkuu wa kambi sijui brig, cos ,cdf na ushenzi gani ni mambo ya mifumo na utawala ya kijeshi jeshi halina Boss ni kazi ya watu, kazi ya Wanachi. Mambo mengine ni yaki jeshi haya andikik hapa, usilelte ujuaji hapa hivi sio vidonda. Halafu swala la kupigwa katika mapambano ni timing tu sio swala zito sana Ondoa ujinga akilini. Ego will kill u
Wewe ni private, mnapendaga sana kujipa moyo kuwa viongozi wenu siyo Maboss wenu.

Mtu anayekupa amri na kukushurutisha utii ni Boss wako. Mtu ambaye ana uwezo wa kukuondoa na kukuallocate kwingine ni Boss wako. Mtu mwenye uwezo wa kukupa adhabu ukikosea na huna cha kufanya ni Boss wako.

Mifumo hiyo ndiyo utaratibu. Mifumo hiyo ndiyo imewaweka watu kuwa juu yako. Na walio juu yako ndiyo maboss wako.

Mbona una akili finyu sana?

Nakubali kuwa kupigana ni timing, mbona awali ulikataa kuwa hakuna raia anayeweza kumkanda nyie maaskari msiojitambua mkilewa? Au askari tu ndiyo anajua timing? 🤣🤣.

Dogo, I can assure, you won't withstand my punch. Whatever you name, ego. But I'm confident enough.
 
Unaona ulivyo muoga na boya?

Yaani nije kambini? Mbona usitafute neutral ground? Unakuwa muoga kiasi cha kuona kambini ndipo utaniweza? Pumbavu.

Njoo nichokoze, nitakuonya. Ukiniletea ujuaji, nakugonga.
Asante ndugu

Ukipata nafasi karibu nikuelekeze

Maana kupambana na wewe ni sawa na kutumia gobore kuua nzi
 
Wewe ni private, mnapendaga sana kujipa moyo kuwa viongozi wenu siyo Maboss wenu.

Mtu anayekupa amri na kukushurutisha utii ni Boss wako. Mtu ambaye ana uwezo wa kukuondoa na kukuallocate kwingine ni Boss wako. Mtu mwenye uwezo wa kukupa adhabu ukikosea na huna cha kufanya ni Boss wako.

Mifumo hiyo ndiyo utaratibu. Mifumo hiyo ndiyo imewaweka watu kuwa juu yako. Na walio juu yako ndiyo maboss wako.

Mbona una akili finyu sana?

Nakubali kuwa kupigana ni timing, mbona awali ulikataa kuwa hakuna raia anayeweza kumkanda nyie maaskari msiojitambua mkilewa? Au askari tu ndiyo anajua timing? 🤣🤣.

Dogo, I can assure, you won't withstand my punch. Whatever you name, ego. But I'm confident enough.
Awali ulisema mi ni Cpl sahivi umeamua niwe Pte twende tu ..
Sipo hapa kutaka unielewe sana, nitawajibika kusema tu yaliyopo hayo maelezo mengine mengine ni nyie sijui mnayasomaga wapi.

" Dogo i can assure, iu won't withstand my punch, whatever you name, wgo. But i'm confident enough" basi kwa hii line nimejua naongea na kizibo cha kutoka angle ipi. Ngoja nikubali kutokukubaliana. Peace Dr kwa mama Tanzania
 
Wengi tulio kulia mtaani na kusoma pmj na baadae kwenda jeshi huwa wanaimbia lolote mank najuwa uwezo wao kishule na mengine mengi Mara nyingi San hawawezi kufurukuta mbele yangu

Hata hap Ninako ishi Niko nao mtaa mmjo ila sinaga muda nao
 
Wewe ni private, mnapendaga sana kujipa moyo kuwa viongozi wenu siyo Maboss wenu.

Mtu anayekupa amri na kukushurutisha utii ni Boss wako. Mtu ambaye ana uwezo wa kukuondoa na kukuaga kwingine ni Boss wako. Mtu mwenye uwezo wa kutoa adhabu ukikosea na huna cha kufanya ni Boss wako.

Mifumo hiyo ndiyo njia. Mifumo hiyo ndiyo imewaweka watu juu yako. Na walio juu yako ndiyo maboss wako.

Mbona una akili finyu sana?

Nakubali kuwa kupigana ni timing, mbona awali ulikataa kuwa hakuna raia anayeweza kumkandamiza nyie maaskari msiojitambua mkilewa? Au askari tu ndiyo anajua timing? 🤣🤣.

Dogo, nakuhakikishia, hautahimili ngumi yangu. Chochote unachotaja, ego. Lakini ninajiamini vya kutosha.
Hebu fanyani kweli tuwatayarishie pambano, ila kama mnategemea nguvu ya kidole bofya endeleeni na kwaherni.
 
Awali ulisema mi ni Cpl sahivi umeamua niwe Pte twende tu ..
Sipo hapa kutaka unielewe sana, nitawajibika kusema tu yaliyopo hayo maelezo mengine mengine ni nyie sijui mnayasomaga wapi.

" Dogo i can assure, iu won't withstand my punch, whatever you name, wgo. But i'm confident enough" basi kwa hii line nimejua naongea na kizibo cha kutoka angle ipi. Ngoja nikubali kutokukubaliana. Peace Dr kwa mama Tanzania
Acheni kuwaonea raia. Mtakutana na ambao watawakanyaga.

Shauri zenu.
 
Nasikitika kuwa toka jana napambana kuwepo na pambano kati ya Dr Restart na jamaa mmoja aliyejitanaibisha kuwa mjeda bwana Elias K kumbe naye ni wale waliokandwa kama bwana Restless Hustler basi pambano tukaliamishia kwa Private Hae Mo-Su .

Masikitiko yangu ni kuwa private Hae Mo-Su hataki kukubali pambano lifanyike nje ya uwanja wa kambi ila yeye anataka afuatwe kambini ili akipigwa asaidiwe na private wenzie .

Nikasema sasa kama na yeye anamuogopa Dr Restart basi hata mimi chapombe niko hapa kupigana aje Mbeya kwa nauli zangu na pia matibabu juu yangu tupimane uwezo lakini bado anademadema .

Sasa natangaza kwa afande yeyote aliyepo hapa na yuko tayari kupimana ubavu na raia basi aje aseme tuandae pambano .

Nb.Tunafanya hivi ili kuwatia moyo raia wote kujua kuwa wajeda wanapigika vizuri tu na wanakaa hawana maujuzi kama tunavyoaminishwa na jamii .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
😆😂
 
Nadhani ingekuwa busara kama ange weka full story lakini hapo tutamuhukumu mwanajeshi bila kujua upande wa pili ilikuwaje... Mimi sidhani kama huyo mwanajeshi ni punguani aanze kumpiga TU mtu bila sababu...huyu Kuna kitu kakikoroga...haki vile​
Pamoja na hayo bado hawana mamlaka yakuchukua sheria mkononi.Vyombo vyakushughulika na makosa ya raia vipo.Unaweza ukajichukulia sheria mkononi kwa mtu ambaye humjui alafu akakudhalilisha na jeshi lako.Tutii sheria.Kila mtu aheshimu mipaka yake.
 
Back
Top Bottom