Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,745
- 24,653
- Thread starter
- #261
Mambo ya hovyo hovyo tu. Ila nimefurahi Sana kuona ile taarifa ya GENTAMYCINEKwenye njia hii yakuja kutoka bonden darajan ukitokeaa kawe ,walinitembezaga km bataa mbelee ya Dem wangu aiseé [emoji23],wakamwacha Dem wangu asitembee km Bata kisa alisisema ana mimba .
Basi wakamwambia akae nyuma yangu ni kizingua kutembea km Bata anipige tekee aiseee hata ckujuaga kosa nn mpk Leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nikajiuliza au walitaka tu kunioshea mbele ya Dem maaana nilioji kosa nn ,nikaambiwa tu chini [emoji23] daaaa..