Ujue Mti chonganishi

niliupanda nyumbani kwangu mke akapita hivi nikaukata na kuchimba mizizi nikaanza kwenda church nimeupasua mbao mwaka wa pili hakuna mchwa ameugusa na nimepata mbao nyingi kuliko unene wa mti ila nilichogundua chini ya ardhi ni mkubwa kuliko juu ya ardhi
 
Huu mti nmeuontesha lakini zaidi ya watu wawili wananiambia huumti ukiotesha una mikosi, yani hapo nyumbani itakua ni mikosi na ugomvi tuu.

Anaeujue hii habari ya huu mti anieleweshe
Kinga ni bora kuliko kutibu, fuatilia huu mjadala toka mwanzo kuna kitu cha kujifunza
 
Vipi hapo kwa dada yako maelewano yapo au kila kukicha maugomvi
 
Leo nmeondoka poit, asubuh sana naing'oa yote kabla haijakua... na home nawapigia waukate, hii kitu inaukweli kabisa 100%
 
Leo nmeondoka poit, asubuh sana naing'oa yote kabla haijakua... na home nawapigia waukate, hii kitu inaukweli kabisa 100%
Kama iko mbali na makazi sio shida kivile unaweza tu ukaiacha
 
Na kama upo karibu na nyumba lakin hyo nyumba haikai mtu?
Ni hatari kwakuwa kuna siku itapata wakaaji.. Na ni tatizo pia kwakuwa mizizi yake ikizama kwenye msingi itasababisha nyufa na uharibifu kwenye nyumba
 
Kaka mshana jr.
Ebu angalia huu ndio mti chonhanishi???
Nataka niutekeketeze soon kama ndio wenyewe.
 
Mbali na maswala ya kiimani, mimi ningependa kujuzwa ni mti gani ambao ni mzuri sana kwa kivuli na ni rafiki kupandwa karibu na nyumba bila kuleta madhara, haswa ya mizizi kusambaa hadi kwenye msingi wa nyumba?.

Upandwe walau futi 9 au 10 toka ulipo msingi. Asante mkuu, natanguliza shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…