Ujue msikiti uliojengwa na majini


Jini fundibomba akiwa na wrench spanner tayari kufix mabomba msikitini
 
Mudi boy again
 
Na kwa uduwanzi alishindwa walau hata kuchukua picha mnato ya huyo jini kwa kutumia ile simu yake.
 
Nahitaji demu wa kijini nielekeze nafanyaje nimpate
 
Du kwahiyo kila aingiaye anapata kitu
 
Brother acha hadithi za kusadikika.
Wajini wana urefu gani, wafupi kama binadamu?
 
Kwa akili hizi za kuamini vitu vya kusadikikia.. CCM itatutawala kwa miaka mingi ijayo. Bure kabisa
 
Mengi yalikufa na machache yaliyobaki yalitapeliwa na binadamu na mengine yalifilisika๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ maana nimekuwa nikitamani nikutane nao lakini waapi๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ