ALLAH AKBAR!!!!Pamoja tutahudhuria, mashaAllah...Takbiiiir
Wanaoita wakristo kuwa ni makafiri ni makosa makubwa sana. Hata katika quran hawajaitwa makafiri. Walioitwa makafiri katika quran ni waarabu wa enzi za mtume na walikuwa wanampinga na wao walikuwa wanaabudu masanamu na kuyaweka katika msikiti wa makkah. Mnakaribishwa sana na mna haki ya kuja kama watanzania wengine. Karibuni sana
Aamyin... Aamyin... AamyinAllah awalipe kheri kwani mmeushika sawasawa mlingoti wa bendera ya kiislam. Hakika hili ni jambo kubwa miongoni mwetu. Mmethubutu na mmeweza. Wangapi kwenye uwezo wakashindwa haya? Nakuombeeni allah awaweke upande wa kuume siku ya kiama inshaallah. Nitakuwepo uwanjani inshaallah.
Hata hao magaidi wanapindisha aya na khadithi kwa maslahi yao. Na wewe kama unapenda kupindisha endelea tu. Ni lazima tuishi katika hii dunia kwa kuheshimiana na kwa amani. Tumekatazwa kuitana majina yenye kuudhi na mwishowake ni kukosa amani. Hata Mtume S.A.W. allishi na wasio kuwa waislamu kwa amani.Sheikh Tafadhali usipindishe, kwani kafir ni nan kwa mujibu wa Qu-raani na Hadithi?
Ni mashindano yanayohusisha kuhifadhi Qur-an n kuchunga matamshi ya usomaji wake, sheykh Yahya alibobea zaidi katika usomaji wa tajwid ambapo wenyewe umebase katika kuisoma qur-an kwa uzuri wa sauti, Karibu Taifa utamuona Bingwa wa Qur-an, Sheykh Dr. AbdulRahman Sudeysnaona anatafutwa mrithi wa Shekhe Yahya .
Hata hao magaidi wanapindisha aya na khadithi kwa maslahi yao. Na wewe kama unapenda kupindisha endelea tu. Ni lazima tuishi katika hii dunia kwa kuheshimiana na kwa amani. Tumekatazwa kuitana majina yenye kuudhi na mwishowake ni kukosa amani. Hata Mtume S.A.W. allishi na wasio kuwa waislamu kwa amani.
Hapo naona haujamuelewa.Kamwe hakuna kweli mbili. Moja ya hizo post mbili hapo juu ni uongo, tena unadiriki kudanganya katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Qur-an ni muongozo kwa walimwengu wote. Naomba unipm ndugu mwema ili nikupe special treat siku ya Mashindano mana unaweza kuja ukakuta uwanja ushajaa. WOTE MNAKARIBISHWA
Eeehhh baba weee nani kazungumzia undugu? Mbona unapindishapindisha maneno? Ninachosema si vizuri kuitana majina yenye kuudhii!!!!Sio kupindisha, hujanijibu swali langu. Naomba wewe aya inayosema mtu anayemkufuru Mungu kwa kusema mwenyezi Mungu ana mwana ni ndugu yetu.
Kama wewe unaona hawa jamaa hawakufai kuwa nao karibu. Hama nenda Saudi Arabia halafu ndio utajua. Kwa nini waarabu wameteremshiwa Mtume aliwanganie dini ya duniaEeehhh baba weee nani kazungumzia undugu? Mbona unapindishapindisha maneno? Ninachosema si vizuri kuitana majina yenye kuudhii!!!!
Uislamu haumlazimishi mtu kuingia ilihali mwenyewe hajaridhia, hakuna kulazimishana ktk dini... Njoo katika mashindano ila suala la kuslimu ama kubaki na dini yako ni maamuzi yako binafsi wala halazimishwi na wala hutolazimishwa japo kwa maneno tu.... karibu TaifaUnataka kutuslim,,!?
Atawasaidia kupata ardhi ya kujenga misikiti na mambo ya Tax free, ngoja niishie hapo...Sasa Masheikh huyu PM Mnanwalika kama Mgeni Rasmi atatoa nasaha gani za Dini? Kigezo gani mlichokitumia mpaka mkaona yeye ndo anaye fit Ugeni rasmi