Wanayo haki ya kukataaMbona tukitaka kusali uwanja wa taifa sala ya Eid tunakatazwa????
Aamyin... Na asante kwa ushauri mzuri. Ufafanuzi ni kuwa hilo lipo katika fikra zetu alhamdulillah, na ukiondoa page zetu za fb n instagram kwa jina la alhikma qur-an competition ambazo zimekuwa zikirusha michuano yetu yote tangia michujo mpaka fainali ya kwanza leo hii Vetenary kwa live video,lakini pia tunaangalia namna ya kurusha fainali za zetu za mwisho ktk livestreamin portal nyinginezo ukiondoa social media... Allah akulipe kila la kheri na karibu sana UwanjaniAl Hikmah na uongozi wake Allah awalipe jazaa njema kabisa kwa haya mnayoyafanya. Je kutakuwa na online streaming yoyote itakayorushwa ili kwa tulio nje ya Tanzania pia tuweze kufuatilia Inshaallah?
Al Hikmah na uongozi wake Allah awalipe jazaa njema kabisa kwa haya mnayoyafanya. Je kutakuwa na online streaming yoyote itakayorushwa ili kwa tulio nje ya Tanzania pia tuweze kufuatilia Inshaallah?
Mashallah tutahudhuriaTaasisi ya Alhikma Foundation chini ya usimamizi wa sheykh Nurdin Kishki inawaletea mashindano makubwa zaidi ya kuhifadhi Qur-an Afrika, mgeni rasmi akiwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa na mgeni maalum katika mashindano ya 18 mwaka huu ni Imamu Mkuu wa Makkah na Madina, Sheykh Abdulrahman Sudeys siku ya tarehe 11 June 2017,Uwanja mkubwa wa Taifa.HAKUNA KIINGILIO. NYOTE MNAKARIBISHWA![]()
Uislam ni dini ya watu woteMakafiri tunaruhusiwa?
Unipitie ostadhat[emoji86] [emoji86]Mashallah tutahudhuria
Ustadh ishaAllah ntahudhuriaUnipitie ostadhat[emoji86] [emoji86]
Je sisi makafiri tunaruhusiwa
Naam... Tutarusha live video kwenye social media pages zetu kwa jina la alhikma qur-an competition in shaa Allah na tunaangalia uwezekano wa kupata live streamin kwa mtandao tofauti na social mediaJe yatakua yanarushwa live ili kwa walio mbali wanufaike?
InshallahUstadh ishaAllah ntahudhuria
Mashallah.. Kwa ujumla uislam mzima unazungumzia maisha ya binadamu na uhalisia wake, yani ni dini ya kimaumbile ya mwanadamu. Ila muislam anaweza kuingiwa na ubinadam ukaona tofauti, uislam umekamilika na hauna kasoro ila wanadamu(ambapo waislamu pia ni wanadamu) hawajakamilika na wana kasoro... Karibu sana Uwanja Mkubwa wa Taifa ndugu ndugu yanguMimi ni mkristu lkn huyu sheikh yupo vizuri ktk mahubiri anazungumzia maisha yetu halisi sisi wanadam
Wanaoita wakristo kuwa ni makafiri ni makosa makubwa sana. Hata katika quran hawajaitwa makafiri. Walioitwa makafiri katika quran ni waarabu wa enzi za mtume na walikuwa wanampinga na wao walikuwa wanaabudu masanamu na kuyaweka katika msikiti wa makkah. Mnakaribishwa sana na mna haki ya kuja kama watanzania wengine. Karibuni sanaSasa kama ni watu wote mbona huwa mnatuita makafir yakhee
Iko katika mkoa wa maka na madina nchini saudi arabiaKwani maka na Madina iko mkoa gani?