Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

Mgeni rasmi ni Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa, mgeni maalumu ni imamu mkuu wa Makkah na Madina sheykh Sudeys na wageni waalikwa ni maraisi wawili wastaafu, Alhaji mzee Mwinyi ambaye pia ni mlezi wa Taasisi ya Alhikma na Mh. Dr. Jakaya Kikwete, raisi mstaafu wa awamu ya nne... Karibuni sana
Kikwete kwanza otoe mashekhe wetu maa busu mwaka wa nne 4 kesi haijasomwa ingekuwa wanawe Ridh na Miraji ange fanya hivo aache sura mbili
 
Naomba aache amani iliyozidi amani yote duniani pamoja na baraka tele kutoka kwa MAULANA MOLA wetu! MWENYE ENZI MUNGU atawale NCHI YANGU TANZANIA NA WATU WAKE, KWA ULINZI MKUU NA MIBARAKA TELE katika jina la YAHUSHUA HA MASHAICH, AMUN RA!
 
CREATIONS IN CONTROL FOREVER!
 
Allahu ma barik hadha liy yaum bi najai warithu li nabii
 
Muombee na Amani kwa mungu wenu,Kibiti kusini mwa nchi,na nchi yote kwa ujumla msiishie kukariri tu na kutumia uwanja wataifa( wa watanzania) mka kung'uta miguu mkaenda.
Wakati ndg zetu wanauwawa na magaidi kibiti na vitongoji vyake.
Kama kuna mgeni maalumu basi na dua maalumu iwepo kuiombea kibiti,magaidi washindwe na wakakamae(maana wakinyong'onyea huenda wakapata nguvu😉)
Kibiti kama kuna magaidi wa kiislamu wakemewe hali kadhalika wa kikristo ,waache kudhurumu nafsi za maskini wenzetu/wenzao
Preach!
 
Jamani tujiulize na kutafakari kwa kina....kitu kama hiki kina faida gani hapa kwetu? Inatusaidia nini katika kuleta maendeleo ya nchi yetu? Serikali piga marufuku hii kitu, hatuitaji.....pelekeni Zanzibar tafadhali.
Kina faida sana ndugu yangu! OMBA AMANI!
 
Alhikma wanachekesha sana wanamkalibisha mtu wasie mjua kama mwislaama au familia yake wote wakristo na yeye pia alafu et ndie mgeni rasimi na kumkutanisha na sheikhs mkubwa duniani inaniuma sana
Dini ya uislam haikatazi hata kuishi na mtu japo asiye na dini kwa chuki, ni wajibu wetu wote kuwatendea wema viumbe wote ili waone wema wa uislam. Na hivyo tunawaalika watu wote wa dini zote kuhudhuria siku ya Jumapili in shaa Allah
 
Dini ya uislam haikatazi hata kuishi na mtu japo asiye na dini kwa chuki, ni wajibu wetu wote kuwatendea wema viumbe wote ili waone wema wa uislam. Na hivyo tunawaalika watu wote wa dini zote kuhudhuria siku ya Jumapili in shaa Allah
Mwenye Enzi Mungu atuongoze milele yote!
 
Oho unataka hoja unataka za kielim untaka kumjua kuwa ni murtadin
 
Tofautisha na aliye murtadin na mwenye dini yeke yaasili ni tofaut
 
Tunamwombea Sheikh. Abdulrahaman Al-Sudeis aweze kusafiri salama kutoka Makkah hadi Dar es salaam ili tuweze kujumuika naye katika mashindano hayo. Amiin
KARIBU TANZANIA SHEIKH. AL -SUDEIS; TUNAKUSUBIRI KWA SHAUKU SANA!
 
Back
Top Bottom