Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

Uislamu haumlazimishi mtu kuingia ilihali mwenyewe hajaridhia, hakuna kulazimishana ktk dini... Njoo katika mashindano ila suala la kuslimu ama kubaki na dini yako ni maamuzi yako binafsi wala halazimishwi na wala hutolazimishwa japo kwa maneno tu.... karibu Taifa
Mtakuwa live tv gani?
 
Ukiondoa Waziri Mkuu na Sheykh Dr. AbdulRahman Sudeys pia msisahau kuwa tutakuwa na wageni waalikwa maraisi wastaafu Alhaji Ally Hassan Mwinyi na Raisi Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete. Watu wote na dini zote wanakaribishwa, Hata wasio na dini pia wanakaribishwa.
 
Hivi Kikwete si Alhaji jamani?
 
Muombee na Amani kwa mungu wenu,Kibiti kusini mwa nchi,na nchi yote kwa ujumla msiishie kukariri tu na kutumia uwanja wataifa( wa watanzania) mka kung'uta miguu mkaenda.
Wakati ndg zetu wanauwawa na magaidi kibiti na vitongoji vyake.
Kama kuna mgeni maalumu basi na dua maalumu iwepo kuiombea kibiti,magaidi washindwe na wakakamae(maana wakinyong'onyea huenda wakapata nguvu😉)
 
Asante kwa ushauri, imamu dr. Abdulrahman sudeys atakuwa na session maalum imepangwa siku hiyo ya kuliombea Taifa zima na watu wake. Karibu sana
 
Imebaki siku 1 tu.. Tusisahau kuwahi mapema sana asubuhi uwanjani. Kuna uwezekano mkubwa uwanja kufungwa mapema sana utakapoanza kujaa
 
Tukio linatarajiwa kuanza mapema saa 12:30 asubuhi ili kuwawezesha wanaotoka mbali wawahi kufturu majumbani mwao. Allah atuafikishe tuidiriki siku hiyo. Aamyin
 
Alhikma wanachekesha sana wanamkalibisha mtu wasie mjua kama mwislaama au familia yake wote wakristo na yeye pia alafu et ndie mgeni rasimi na kumkutanisha na sheikhs mkubwa duniani inaniuma sana
 
Alhikma wanachekesha sana wanamkalibisha mtu wasie mjua kama mwislaama au familia yake wote wakristo na yeye pia alafu et ndie mgeni rasimi na kumkutanisha na sheikhs mkubwa duniani inaniuma sana
Kwani kuna ubaya wowote???
 
Nilipenda kusikiliza quran na kupenda kusoma kwa ajili yake.ana sauti ya ajabu.lakini siku hizi kidogo simsikilizi sana maana kuna kifaa ahmed al ajmy,idrees abkar,na yousef kalo.
Ndo nawasikiliza sana.ila sudeis atabaki kuwa namba 1 kwangu.
 
Upo sana yule ni murtadi hafai hata kupewa maji bora nguruwe kuliko murtadi hukum yake ni moja tu kama wewe ni mwislaam unaijua
Kwanini unasema ni Murtad ? Unazo hoja za kielimu
 
Back
Top Bottom