Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

Allah awalipe kheri kwani mmeushika sawasawa mlingoti wa bendera ya kiislam. Hakika hili ni jambo kubwa miongoni mwetu. Mmethubutu na mmeweza. Wangapi kwenye uwezo wakashindwa haya? Nakuombeeni allah awaweke upande wa kuume siku ya kiama inshaallah. Nitakuwepo uwanjani inshaallah.
 
Wanaoita wakristo kuwa ni makafiri ni makosa makubwa sana. Hata katika quran hawajaitwa makafiri. Walioitwa makafiri katika quran ni waarabu wa enzi za mtume na walikuwa wanampinga na wao walikuwa wanaabudu masanamu na kuyaweka katika msikiti wa makkah. Mnakaribishwa sana na mna haki ya kuja kama watanzania wengine. Karibuni sana

Sheikh Tafadhali usipindishe, kwani kafir ni nan kwa mujibu wa Qu-raani na Hadithi?
 
Allah awalipe kheri kwani mmeushika sawasawa mlingoti wa bendera ya kiislam. Hakika hili ni jambo kubwa miongoni mwetu. Mmethubutu na mmeweza. Wangapi kwenye uwezo wakashindwa haya? Nakuombeeni allah awaweke upande wa kuume siku ya kiama inshaallah. Nitakuwepo uwanjani inshaallah.
Aamyin... Aamyin... Aamyin
 
Sheikh Tafadhali usipindishe, kwani kafir ni nan kwa mujibu wa Qu-raani na Hadithi?
Hata hao magaidi wanapindisha aya na khadithi kwa maslahi yao. Na wewe kama unapenda kupindisha endelea tu. Ni lazima tuishi katika hii dunia kwa kuheshimiana na kwa amani. Tumekatazwa kuitana majina yenye kuudhi na mwishowake ni kukosa amani. Hata Mtume S.A.W. allishi na wasio kuwa waislamu kwa amani.
 
Sio kupindisha, hujanijibu swali langu. Naomba wewe aya inayosema mtu anayemkufuru Mungu kwa kusema mwenyezi Mungu ana mwana ni ndugu yetu.
 
Kamwe hakuna kweli mbili. Moja ya hizo post mbili hapo juu ni uongo, tena unadiriki kudanganya katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Hapo naona haujamuelewa.

Kasema Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa(kiongozi wa serikali ya JMT) na Mgeni Rasmi katika Mashindano ya 18 ni Imamu wa Saudi Arabia Abdul rahman Sudeys.
Kwa mantiki hiyo Waziri Mkuu ni mgeni Rasmi kwa ujumla, lakini Sudeys ni mgeni Rasmi kwenye awamu hii ya 18 ya mashindano ambaye ni kiongozi wa dini.

Ruksa kukosoa!!
 
Sasa Masheikh huyu PM Mnanwalika kama Mgeni Rasmi atatoa nasaha gani za Dini? Kigezo gani mlichokitumia mpaka mkaona yeye ndo anaye fit Ugeni rasmi
 
Sio kupindisha, hujanijibu swali langu. Naomba wewe aya inayosema mtu anayemkufuru Mungu kwa kusema mwenyezi Mungu ana mwana ni ndugu yetu.
Eeehhh baba weee nani kazungumzia undugu? Mbona unapindishapindisha maneno? Ninachosema si vizuri kuitana majina yenye kuudhii!!!!
 
Kama wewe unaona hawa jamaa hawakufai kuwa nao karibu. Hama nenda Saudi Arabia halafu ndio utajua. Kwa nini waarabu wameteremshiwa Mtume aliwanganie dini ya dunia
 
Sasa Masheikh huyu PM Mnanwalika kama Mgeni Rasmi atatoa nasaha gani za Dini? Kigezo gani mlichokitumia mpaka mkaona yeye ndo anaye fit Ugeni rasmi
Atawasaidia kupata ardhi ya kujenga misikiti na mambo ya Tax free, ngoja niishie hapo...
 
Back
Top Bottom