Ujinga wa Wanawake wa Kiafrika

Umeongea ujinga mwingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke ni mwanamke tu, Haijalishi ni mwafrika au mmarekani.

Wote hawa ni kukaa nao chonjo.
 
Duuu! Umechambua [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna ukweli kabisa. tatizo wengi wanajiuza wamegeuza mapenzi kuwa sehem ya kujikwamua ki uchumi
 
Ngija nimuulize msemakweli Kapeace haya yana ukweli?
 
Itabidi utafute Mwanamke wa kuoa huko huko hawa wanawake wa Afrika waachie wengine.
 
Umemaliza kabisa[emoji122][emoji122]
 
Wanawake wa kimarekani hawatakagi masikhara kbsa, akiota tu umemcheat mkiamka asubuhi anataka umpe maelezo ya kina kuhusu alichokiota na ukizingua tu kidogo anaomba talaka 😂
 
Ila wanawake wa huku kwetu Africa Ni wanyonyaji sio poa kbsa.Mahusiano ya kimapenzi yanawarudisha nyuma sana vijana wa kiume coz wapenzi wait hawako supportive kwao.
 
Umenikumbusha wimbo wa California love by ndugu yangu wa mbali sana 2pac ommy shakur..

Any way Gold Diggers hawako huko ulikotembelea?
 
Umenikumbusha wimbo wa California love by ndugu yangu wa mbali sana 2pac ommy shakur..

Any way Gold Diggers hawako huko ulikotembelea?
Hehehehe kaka gold diggers wako Kila sehem lakini kwa hao wa huko angalau utaambulia kitu ingawa mahusiano kwao Inabidi uwe committed sana ...ushaidi we mwenyewe unao huku mpaka Kodi mtu anataka umlipie
 
Uko sahihi kbsa Yani hata Kodi ikiisha walivyo magoli kipa wanategeshea mwanaume alipie ilihali hujamuoa na yeye kazi anayo...
 
Suala la wanawake kupenda kuhudumiwa ni la dunia nzima
Lakini kuna tofauti ndogondogo maeneo kwa maeneo duniani
Huo utamaduni ulioukuta huko Marekani ni tofauti na Tanzania lakini siyo Afrika nzima kama ulivyo conclude hapa
 
Ninachoshangaa mimi, kwanini watu wanaanzisha kuleta mambo ya ushoga kwenye kila mada, hivi tunauchukia kweli au ni geresha. Pili mimi nina kazi mambo yapo fresh ila haki ya Mungu sitakaa niwabeze vijana wenzangu, Mungu nisaidie. Wanapitia magumu mengi sana tena sana mtoto wa kiume hana sponsor na ndiyo play maker kwenye familia hivyo ukifanikiwa wewe hata siku moja usibeze wenzako. Majigambo mwisho mbaya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…