Ujinga wa Wanawake wa Kiafrika

Los santos

JF-Expert Member
Jan 14, 2021
961
2,037
Miaka kadhaa hapo nyuma nilibaatika kwenda California-san Fransisco & San Diego katika harakati za maisha nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana jinsi mahusiano ya wenzetu yalivyo

Kwanza unakuta wenzetu wakitoka out mfano kufanya shopping Kila mtu anajinunulia vitu vyake.huku tz Binti hata kama ana kazi vocha nayo ataomba

Wakipanga appointment Kila mtu anakuja Kwa kujilipia usafiri wake au anajipambania usafiri huku kwetu utasikia anasema Hana nauli na ni nyimbo ya Kila siku

Yani wenzetu Kwa asilimia kubwa katika Kila wanachofanya watahakikisha Kuna cost sharing na hii imepelekea wanawake huko kuingia kwenye mahusiano kutafuta real love na sio kujikwamua kiuchumi kama hawa dada zetu wa kibongo ambao wanapenda red carpet treatment ilihali hata chupi zao hawajui kusafisha..

Wadada wengi wametoka kwenye familia masikini za kutupwa lakini wakiwa kwenye mahusiano ukamtoa out atajidai kula kuku na kubakiza ilihali kwao kuku ni mpaka Christmas Tena wageni wakija au atataka umnunulie masimu ya gharama wakati hata asset Moja ya maana Hana ya kumuingizia kipato

Kiukweli Kwa hizi tabia za hawa mademu wa kiafrika nadiriki kusema ni kupe na hawastahili kbsa kupewa nyongeza kama hawatojitambua

Wanawake wengi wa kiafrika hasa wa kizazi kipya ni

1.Walemavu wa akili
2.Wanyonyaji
3.Wasaliti
4.Wabinafsi
5.Wanapenda umalkia
6.Wanajamba hovyo
7.Hawana upendo
8.Hawathamini utu
9.Hawapendi kuwajibika
10. Hawana ushauri wa maana

Sina Ganda Wala risasi
 
Vipi mkuu na hali zao kwenye ndoa.

Mwanamke wa kiafrika kwangu ataendelea kuwa mwenye thamani siku zote. hayo si mambo ya kufanya uwasifiwe wao wanawake.

Wanawake wa kimarekani kukuita mume wangu hicho ni kipengele.

Kuwa ana wajibu wa kupika kwako si lazima akupigie.

Ana uhuru wa kufanya anachotaka muda wote anaotaka bila wewe kuingilia maamuzi yake.

Marekani ndoa ni ngumu tabia za wanawake ni ngumu sana, ndomana wanaume wengi wanaoa wakiwa na miaka 45 na kuendelea. wengine talaka wengine hawanaga kabisa story za ndoa. ndoa ni stress.

Wanawake wengi hawajuwi kupika.

Alafu achane story za kusema wanawake wa huku hapendi hela. hizo story za magazeni na muvi.

Wanawake wengi na asilimia kubwa kunwa zaidi wanataka uwe na hela. ili umshawishi unatakiwa uwe na gari nzuri ataamini una hela.

Wanawake wa Marekani wanapenda sana travelling, hapo anapaswa awe na mume mwenye vicent.

Mwisho wa siku mjue kuna walioishi vijiji ndo hawana mambo mengi na mji walio wengi wana mambo mengi.

Huwezi kudate na mtoto mwenye maisha mazuri wewe ukiwa broke hilo sahau labda itokee zari.

Wengi mnaodate nao huko Africa na broke haoa Marekani au ulaya.

Why people ana sababu tatu za kudate na mtu mweusi.

Moja ikiwa huyo bibie ni broke, mnaweza kudate

Mbili. ni wale mabonge au nzuri mbaya ambao wazungu wenzao hawapendi mnaweza kudate.

tatu ni kutaka mtu ambae anaweza kumcontrol, cos anajua kabisa black men wanapenda white girls. so anakuwa huru na kumcontrol black man kuliko white man.

NB: wanamke wa kiafrika kuringa ni suna huwezi kumfananisha na hao likija swala na ndoa.
 
Wasimbe wanakuja watakwambia tafuta hela uache kulalamika.
 
Ujinga ni hao wanawake kujinunulia vitu

Sisi wajanja tunanunuliwa na kutunzwa
Ni sahihi, huo ni wajibu wetu wanaume kuwatunza wanawake. Hakuna califonia wala nini. Duniani kote, wanaume tunatunza wake zetu. Tunapambana kwa ajili ya wake na familia zetu. Sema madogo wengi wa sasa hawana pesa na wanatafuta kutunzwa na wanawake na ndio maana wanapigwa pipe na wanaume wenzao na kuleta blah blah mara kataa ndoa n.k
 
Mada haiongelei wake aisee ,mada inaongelea mademu
 
Miaka kadhaa hapo nyuma nilibaatika kwenda California-san Fransisco & San Diego katika harakati za maisha nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana jinsi mahusiano ya wenzetu yalivyo

Kwanza unakuta wenzetu wakitoka out mfano kufanya shopping Kila mtu anajinunulia vitu vyake.huku tz Binti hata kama ana kazi vocha nayo ataomba

Wakipanga appointment Kila mtu anakuja Kwa kujilipia usafiri wake au anajipambania usafiri huku kwetu utasikia anasema Hana nauli na ni nyimbo ya Kila siku

Yani wenzetu Kwa asilimia kubwa katika Kila wanachofanya watahakikisha Kuna cost sharing na hii imepelekea wanawake huko kuingia kwenye mahusiano kutafuta real love na sio kujikwamua kiuchumi kama hawa dada zetu wa kibongo ambao wanapenda red carpet treatment ilihali hata chupi zao hawajui kusafisha..

Wadada wengi wametoka kwenye familia masikini za kutupwa lakini wakiwa kwenye mahusiano ukamtoa out atajidai kula kuku na kubakiza ilihali kwao kuku ni mpaka Christmas Tena wageni wakija au atataka umnunulie masimu ya gharama wakati hata asset Moja ya maana Hana ya kumuingizia kipato

Kiukweli Kwa hizi tabia za hawa mademu wa kiafrika nadiriki kusema ni kupe na hawastahili kbsa kupewa nyongeza kama hawatojitambua

Wanawake wengi wa kiafrika hasa wa kizazi kipya ni

1.Walemavu wa akili
2.Wanyonyaji
3.Wasaliti
4.Wabinafsi
5.Wanapenda umalkia
6.Wanajamba hovyo
7.Hawana upendo
8.Hawathamini utu
9.Hawapendi kuwajibika
10. Hawana ushauri wa maana

Sina Ganda Wala risasi
Very true.
Pia wana tabia ya ULAZIMU
 
Vipi mkuu na hali zao kwenye ndoa.

Mwanamke wa kiafrika kwangu ataendelea kuwa mwenye thamani siku zote. hayo si mambo ya kufanya uwasifiwe wao wanawake.

Wanawake wa kimarekani kukuita mume wangu hicho ni kipengele.

Kuwa ana wajibu wa kupika kwako si lazima akupigie.

Ana uhuru wa kufanya anachotaka muda wote anaotaka bila wewe kuingilia maamuzi yake.

Marekani ndoa ni ngumu tabia za wanawake ni ngumu sana, ndomana wanaume wengi wanaoa wakiwa na miaka 45 na kuendelea. wengine talaka wengine hawanaga kabisa story za ndoa. ndoa ni stress.

Wanawake wengi hawajuwi kupika.

Alafu achane story za kusema wanawake wa huku hapendi hela. hizo story za magazeni na muvi.

Wanawake wengi na asilimia kubwa kunwa zaidi wanataka uwe na hela. ili umshawishi unatakiwa uwe na gari nzuri ataamini una hela.

Wanawake wa Marekani wanapenda sana travelling, hapo anapaswa awe na mume mwenye vicent.

Mwisho wa siku mjue kuna walioishi vijiji ndo hawana mambo mengi na mji walio wengi wana mambo mengi.

Huwezi kudate na mtoto mwenye maisha mazuri wewe ukiwa broke hilo sahau labda itokee zari.

Wengi mnaodate nao huko Africa na broke haoa Marekani au ulaya.

Why people ana sababu tatu za kudate na mtu mweusi.

Moja ikiwa huyo bibie ni broke, mnaweza kudate

Mbili. ni wale mabonge au nzuri mbaya ambao wazungu wenzao hawapendi mnaweza kudate.

tatu ni kutaka mtu ambae anaweza kumcontrol, cos anajua kabisa black men wanapenda white girls. so anakuwa huru na kumcontrol black man kuliko white man.

NB: wanamke wa kiafrika kuringa ni suna huwezi kumfananisha na hao likija swala na ndoa.
Kuringa ni sunna lakini Kuna mipaka yake sio kama hawa nyonya damu wa KIAFRIKA ,huwezi date na mtu Kila kitu anataka uhudumie alafu useme ni sunna ,pia kuhusu hao mabonge sjui wanajua kuwa weusi mnapenda kudate wazungu Naona uko nje ya mada kbsa ...hapa mada ni wanawake kupenda mteremko Kwa vitu ambayo hawastahili wakiwa nje ya ndoa
 
Kwanza unakuta wenzetu wakitoka out mfano kufanya shopping Kila mtu anajinunulia vitu vyake.huku tz Binti hata kama ana kazi vocha nayo ataomba
Screenshot_20230920-075022.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom