Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,922
- 236,506
Tulishazoea kuku tunakula kipande kimoja tu kwa bajeti.
Ukitupa kuku mzima tutamaliza vipi?,Anasa hizo.
Ukitupa kuku mzima tutamaliza vipi?,Anasa hizo.
DuuuhUkitupa kuku mzima
Mtoa mada kasema mtafute love na Sio ajira kupitia love1. Ndege wafananao...........
2. Kama unadate mwanamke mko ndani ya mkoa mmoja anakuomba nauli, wewe ndo mwenye matatizo ya akili au huyo ndo mnafanana.
3. Lakini mbona siku wanaume mmejitambua? Mbona mnawafata wenyewe kuwapeleka out na vyakula mnawanunulia wenyewe kelele za nini sasa?
4. Kwahiyo mnataka hela yenu iliwe na nani?
5. Wanaume acheni ubahili mkifaga hela yenu mtaachaga benk waanze kuigombania ndugu ambao hata hawakuwapa huduma ya kiroho.
Hata marekani feminists wapo wengi we call them gold diggers and there millions of them. All women are devils with only a few cases who are trying to be differentMiaka kadhaa hapo nyuma nilibaatika kwenda California-san Fransisco & San Diego katika harakati za maisha nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana jinsi mahusiano ya wenzetu yalivyo
Kwanza unakuta wenzetu wakitoka out mfano kufanya shopping Kila mtu anajinunulia vitu vyake.huku tz Binti hata kama ana kazi vocha nayo ataomba
Wakipanga appointment Kila mtu anakuja Kwa kujilipia usafiri wake au anajipambania usafiri huku kwetu utasikia anasema Hana nauli na ni nyimbo ya Kila siku
Yani wenzetu Kwa asilimia kubwa katika Kila wanachofanya watahakikisha Kuna cost sharing na hii imepelekea wanawake huko kuingia kwenye mahusiano kutafuta real love na sio kujikwamua kiuchumi kama hawa dada zetu wa kibongo ambao wanapenda red carpet treatment ilihali hata chupi zao hawajui kusafisha..
Wadada wengi wametoka kwenye familia masikini za kutupwa lakini wakiwa kwenye mahusiano ukamtoa out atajidai kula kuku na kubakiza ilihali kwao kuku ni mpaka Christmas Tena wageni wakija au atataka umnunulie masimu ya gharama wakati hata asset Moja ya maana Hana ya kumuingizia kipato
Kiukweli Kwa hizi tabia za hawa mademu wa kiafrika nadiriki kusema ni kupe na hawastahili kbsa kupewa nyongeza kama hawatojitambua
Wanawake wengi wa kiafrika hasa wa kizazi kipya ni
1.Walemavu wa akili
2.Wanyonyaji
3.Wasaliti
4.Wabinafsi
5.Wanapenda umalkia
6.Wanajamba hovyo
7.Hawana upendo
8.Hawathamini utu
9.Hawapendi kuwajibika
10. Hawana ushauri wa maana
[emoji1545] Sina Ganda Wala risasi[emoji1545]
Point hapa kwann mnageuza wanaume Kuwa wazazi wenu, Yani unakuta demu Kila kitu anataka umhudumie aisee... Anatoka kwao anaenda kupanga Ili wanaume wamhudumie Yani kudate na mwanamke saiv unakua mzazi wake.1. Ndege wafananao...........
2. Kama unadate mwanamke mko ndani ya mkoa mmoja anakuomba nauli, wewe ndo mwenye matatizo ya akili au huyo ndo mnafanana.
3. Lakini mbona siku wanaume mmejitambua? Mbona mnawafata wenyewe kuwapeleka out na vyakula mnawanunulia wenyewe kelele za nini sasa?
4. Kwahiyo mnataka hela yenu iliwe na nani?
5. Wanaume acheni ubahili mkifaga hela yenu mtaachaga benk waanze kuigombania ndugu ambao hata hawakuwapa huduma ya kiroho.
Demu kama huyu ni kupiga na Kusepa Yani mtu bila aibu et anaomba 100 aisee...😂 Kituko hichi ni Bora zaidi hata akuombe 50000 kuliko 100 inaonyesha n namna gan ana njaa huyu demu
Upo sahihi nakurekebisha kwenye namba moja; hawana akili kabisa.Miaka kadhaa hapo nyuma nilibaatika kwenda California-san Fransisco & San Diego katika harakati za maisha nilifanikiwa kujifunza mambo mengi sana jinsi mahusiano ya wenzetu yalivyo
Kwanza unakuta wenzetu wakitoka out mfano kufanya shopping Kila mtu anajinunulia vitu vyake.huku tz Binti hata kama ana kazi vocha nayo ataomba
Wakipanga appointment Kila mtu anakuja Kwa kujilipia usafiri wake au anajipambania usafiri huku kwetu utasikia anasema Hana nauli na ni nyimbo ya Kila siku
Yani wenzetu Kwa asilimia kubwa katika Kila wanachofanya watahakikisha Kuna cost sharing na hii imepelekea wanawake huko kuingia kwenye mahusiano kutafuta real love na sio kujikwamua kiuchumi kama hawa dada zetu wa kibongo ambao wanapenda red carpet treatment ilihali hata chupi zao hawajui kusafisha..
Wadada wengi wametoka kwenye familia masikini za kutupwa lakini wakiwa kwenye mahusiano ukamtoa out atajidai kula kuku na kubakiza ilihali kwao kuku ni mpaka Christmas Tena wageni wakija au atataka umnunulie masimu ya gharama wakati hata asset Moja ya maana Hana ya kumuingizia kipato
Kiukweli Kwa hizi tabia za hawa mademu wa kiafrika nadiriki kusema ni kupe na hawastahili kbsa kupewa nyongeza kama hawatojitambua
Wanawake wengi wa kiafrika hasa wa kizazi kipya ni
1.Walemavu wa akili
2.Wanyonyaji
3.Wasaliti
4.Wabinafsi
5.Wanapenda umalkia
6.Wanajamba hovyo
7.Hawana upendo
8.Hawathamini utu
9.Hawapendi kuwajibika
10. Hawana ushauri wa maana
[emoji1545] Sina Ganda Wala risasi[emoji1545]
Na ndipo raha za mwanamke zinapoanzia.Ujinga ni hao wanawake kujinunulia vitu
Sisi wajanja tunanunuliwa na kutunzwa
Umeuliza vyema sana na wanajidai kuzunguuka sjui Hilo swali wasichoelewa ninPoint hapa kwann mnageuza wanaume Kuwa wazazi wenu, Yani unakuta demu Kila kitu anataka umhudumie aisee... Anatoka kwao anaenda kupanga Ili wanaume wamhudumie Yani kudate na mwanamke saiv unakua mzazi wake.
Kama kwenye Ndoa ni sahihi kuhudumiwa.
Asante sana mdauUpo sahihi nakurekebisha kwenye namba moja; hawana akili kabisa.
😂Rudi california😂
Daa hatari sana
Hana njaa basi tu vituko na hapo sikumpa maana najua hakosi 100 ni attention tu nilikua nimeuchuna ndio akatuma hio kuniamsha wakati kaniambia yupo msibani ulisikia wapi msibani watu wanaenda kuchat?Demu kama huyu ni kupiga na Kusepa Yani mtu bila aibu et anaomba 100 aisee...😂 Kituko hichi ni Bora zaidi hata akuombe 50000 kuliko 100 inaonyesha n namna gan ana njaa huyu demu
Kwahiyo point yako inahusiana vipi na hoja ya mtoa madaHana njaa basi tu vituko na hapo sikumpa maana najua hakosi 100 ni attention tu nilikua nimeuchuna ndio akatuma hio kuniamsha wakati kaniambia yupo msibani ulisikia wapi msibani watu wanaenda kuchat?
Hahaha duh Safari ni ndefu Sanaa.Wanakata stimu hao kuna dem nipo nae kwa group moja ndio nipo kwenye process za kumtafuna aisee juzi nikamtext mambo akajibu poa kinyonge sana nikamuuliza mbona kinyonge shida nini akasema et hana hela nikamuuliza ela ya nini akajibu et hela ya kula hapo hapo nikakata mazoea
Kuringa ni sunna lakini Kuna mipaka yake sio kama hawa nyonya damu wa KIAFRIKA ,huwezi date na mtu Kila kitu anataka uhudumie alafu useme ni sunna ,pia kuhusu hao mabonge sjui wanajua kuwa weusi mnapenda kudate wazungu Naona uko nje ya mada kbsa ...hapa mada ni wanawake kupenda mteremko Kwa vitu ambayo hawastahili wakiwa nje ya ndoa