Cumudia
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 510
- 862
Tamaduni ndio sababu inayofanya uwepo wa tofauti ya mtindo wa kimaisha kati ya watu wa eneo moja na lingine, ukifananisha waafrika wanaoishi afrika ni tofauti na waafrika au whites waliokulia nje ya afrika kitamaduni,na tutambue tamaduni ndio huleta utofauti namna ya kuishi, kula, kazi hata mahusiano mpaka ndoa.
Wenzetu kwenye mahusiano hawana mizinga hata outings kila mmoja anajitegemea ila kwetu hilo halipo na halikwepeki lazima utoboke, lakini sote tukiingia ndoani wanaume sisi ndio main provider halikwepeki.
Nimebahatika kuwa na foreigners watatu nyakati tofauti nili experience mambo tofauti na hawa wa kikwetu ila laiti kama ningeendekeza kutoka na foreigners ningesahau kuhonga kabisa.
Maisha yanaenda kasi sana, sheikh wewe pambana tu hakuna namna kila shetani na mbuyu wake.