Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,312
- 40,136
kama ni utaft wa twaweza baki nao
Kisa cha wanawake kukeketwa ilikuwa kuwafanya wasilifurahie kamwe tendo la ndoa hata kidogo, hivyo sex ilikuwa mali ya baba Tu. Na wakati huo mwanamke lazima akutwe bikra pia.Yaani bora umeliona Mkuu sababu wameanza kutoa mifano ya ajabu ajabu.
Wakae tu Single kama hawajui kutoa mahari. Au waende wakaishi huko ambako wanaume wanafanyiwa kila kitu.
Aaaah Kwa hiyo mahari ni malipo ya leba? Anafaidi kuliko wewe halafu unamtunza na mahari juu?
Alafu na hata mambo ya kupampu mpaka pumzi inakaribia kukata wakati mtu dakika NNE ushamaliza haja zako,eti unapigana kuridhisha jitu....yaachwe Mara mojaChanzo cha wanaume kwenda kuposa na kutoa mahari miaka nenda miaka rudi ni kudhani kuwa wakati wa tendo la ndoa mwanaume anafuraha zaidi ya mwanamke. Loooh kumbe sio hivyo bwana! Wanawake ndo wanaofurahia zaidi tendo kuliko wanaume. Watapaswa kulipa wao mahari yooote au pasu Kwa pasu. Tusihangaike na kutafuta mahari hangaikia maisha
Niliwah kusikia pahala hili jambo lilikuwa likifanywa na Wapagani kipindi cha BC, naomba elimu katika hili nduguMkuu unajua maana na dhumuni la mahari?
Kweli kabisa Mkuu.Kuna watu huwa hawafikiri wanapoongea
Ndio maana tumeambiwa kama huna la maana usiongee
habari ya siku nyingi madam?Oh haya sawa
Njema kabisahabari ya siku nyingi madam?
Hizo kashfa sasaMmh. Kila kukicha mnageuza geuza mambo mwisho wa siku mtataka tuwawowe sasa.
Mmh. Mpumzike na nini sasa?Bora na cc tupunzike kidogo
Kashfa kiaje Mkuu , huu si ndio mwanzo?Hizo kashfa sasa
Kwa hiyo unagegeda makahaba wa kununua?!