Ujinga wa wanaume Kwa wanawake huu hapa!

Ujinga wa wanaume Kwa wanawake huu hapa!

labda busara zako zingekushawishi kupita kimya kimya.......duh.....ukaweka na kibwagizo kabisa..!!
Duuh. Kumbe nilichokiandika ndio hujapenda. Niwie radhi.

Pole bana. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Duuh. Kumbe nilichokiandika ndio hujapenda. Niwie radhi.

Pole bana. [emoji124] [emoji124] [emoji124]
wala usiwe na shaka.......si wajua kila mmoja na mtazamo wake.....iko poa tuu...
 
Tatizo wazazi wenu huwa wanatamka mamahari makubwa wakati umedanga kama mbwa alokosa matunzo huko chini hakuna kila kitu ingekuwa simu hata update hupati
 
Kama hela ya vocha hawana, ya mahari watatoa wapi?
Hebu jifikirie mwenyewe hiyo mahari wananunua nini wakati jamaa anakwenda kukutunza wewe, shemeji zake na wakati mwingine hata wakwe zake pia?

Wanaume wanadhani watakwenda kufaidi peke yao kule waendako, lol!
 
tafiti amefanya nani??
Mwanamke asiyetoshelezwa kitandani anachonga Sana, mara ooh mke mwenzangu,mara kibamia mara.....hii inaonyesha raha kwao ni kipaumbele buana. Wale wazee wetu wa enzi hizooo, mahari ilikuwa mahari kweli, maana sex ilikuwa mali ya baba kwelikweli hakuna mchezo. Mwnamke alikuwa akisisemaga ukimaliza funika lala nitaosha kesho. hawa wa leo tunafaidi wote hawahitaji hata ndururu moja kama mahari.
 
Back
Top Bottom