kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,290
- 17,574
Chanzo cha wanaume kwenda kuposa na kutoa mahari miaka nenda miaka rudi ni kudhani kuwa wakati wa tendo la ndoa mwanaume anafuraha zaidi ya mwanamke. Loooh kumbe sio hivyo bwana! Wanawake ndo wanaofurahia zaidi tendo kuliko wanaume. Watapaswa kulipa wao mahari yooote au pasu Kwa pasu. Tusihangaike na kutafuta mahari hangaikia maisha