Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,714
- 128,399
Umeonaeee. Ni kiasi cha kuamua tu basi watatolewa Mahari na hata kuolewa pia.Mario wapo wengi sana
Umeonaeee. Ni kiasi cha kuamua tu basi watatolewa Mahari na hata kuolewa pia.Mario wapo wengi sana
Tunakoenda ni kubayaMmh. Kila kukicha mnageuza geuza mambo mwisho wa siku mtataka tuwawowe sasa.
Mahari hawatolewi ila wanaolewa tu kwa kupenda vya bureUmeonaeee. Ni kiasi cha kuamua tu basi watatolewa Mahari na hata kuolewa pia.
Mahari hawatolewi ila wanaolewa tu kwa kupenda vya bureUmeonaeee. Ni kiasi cha kuamua tu basi watatolewa Mahari na hata kuolewa pia.
Nishajua Hajar na mimi naisubiri hiyo September panapo majaaliwa, si utanipigia debe eeh Hajar?Ooh. Kumbe raha ipo inatosha hiyo hiyo hivyo mtulipiage tu hizo Mahari. Mie nikajua hamsikii kitu basi. [emoji85]
Ila Sesten sio kwa kufunga huko lol. Hebu September ifike jamaani lol ili niwe nakuona kule sehemu najua ushajua tayari. [emoji40] [emoji40]
Tena ni kubaya hasa Mkuu.Tunakoenda ni kubaya
Wenzetu wanaona same sex
Mungu saidia kwa kweli
Hahahaaa. Kuumbeee.Mahari hawatolewi ila wanaolewa tu kwa kupenda vya bure
Wala usijali Sesten najua unajua wapi pa kukutana tuyajenge yaani tukirusha bomu moja halikataliwi hilo.Nishajua Hajar na mimi naisubiri hiyo September panapo majaaliwa, si utanipigia debe eeh Hajar?
Haya na usiache kuja kulee tuyajenge na kuyasuka, mipango mikubwa na yenye kufanikiwa siku zote hutengenezwa na watu waliojifungia pahala na sio hadharani.....sawasawa?Wala usijali Sesten najua unajua wapi pa kukutana tuyajenge yaani tukirusha bomu moja halikataliwi hilo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] vimekaza hasa tena.Kweli vyuma vimekaza
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] vimekaza hasa tena.
Hahahaaa. Hasaaaaaaa.Haya na usiache kuja kulee tuyajenge na kuyasuka, mipango mikubwa na yenye kufanikiwa siku zote hutengenezwa na watu waliojifungia pahala na sio hadharani.....sawasawa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmh. Kila kukicha mnageuza geuza mambo mwisho wa siku mtataka tuwawowe sasa.
Si tulishaambiwa tupake nini sijui ili vilainike, ulishajaribu Hajar?[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] vimekaza hasa tena.
Na rangi zingine mpyaa ndio kwanza nazisikia miaka hii!He he kila rangi zinaonekana jamani
Na rangi zingine mpyaa ndio kwanza nazisikia miaka hii!
Mi tena wala sipigi vyombo leo nisije nikakukera Hajar na kikao kikavunjika maana nakujua wewe mtu wa juice au kidooogo gahawa na haluaHahahaaa. Hasaaaaaaa.
Sawa sawa kabisa Naja naja tupange mipango Sesten.