Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,714
- 128,399
Hahahaaa. Lol.Aaah,yaani wewe Hajar sijawahi kupata tabu kukuelewa hata siku moja, shaka ondoa mamii. Tena sijapatapo kukuona ukinuna, kwa kadri ninavyokumbuka. Hua unakasirika unamwambia aliyekukwaza au wewe kama ndio umekosa unaomba uwiwe radhi, kama mwingine akiwa mgumu kama chuma kilichokosa grisi basi taratiiibu utamuepuka uendelee na maisha yako ya kufururahi na kila mtu, hununi au pengine mimi sijakuona ukinuna.
Huyo ndie Hajar wetu na mambo yanayomnyanyua daraja
Haya bana Sesten [emoji120] [emoji120] [emoji120]