Amo1
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,753
- 2,881
Kashfa kiaje Mkuu , huu si ndio mwanzo?[/QUOTEkumbuka aliye toa bikra hakutoa hata mia alaf Mimi nitoe mamilioni ...Kama ni biashara hiyo ni net loss
Kashfa kiaje Mkuu , huu si ndio mwanzo?[/QUOTEkumbuka aliye toa bikra hakutoa hata mia alaf Mimi nitoe mamilioni ...Kama ni biashara hiyo ni net loss
Hilineno "Limbwata" nimezowea kulisikia wakinamama ndio wakilijadili, na bahati mbaya sana sijawahi kufanikiwa kujua maana halisi ya neno hili.Limbwata la nini kama hakuna raha mnayopata?
Hiyo ni kwa mwanamke mpya sio Kwa zilipendwa. Zilipendwa hashtui hata akivua nguo xote, inakanaisha haraka kama akiwa na tabia ya kukaakaa uchi kila wakatiMwanaume raha yake ni kumuona mwanamke akiwa kama alivyozaliwa na pili kufikia mshindo, hilo la pili sasa ndio linawekewa mbwembwe na madoido ikiwemo mwanaume kuhakikisha katika safari yake hiyo kuelekea mlima Kilimanjaro hamuachi mwenzake na ikiwezekana amtangulize kumpandisha yeye kwanza,
Kwa raha kweli tunasikia raha na bila nyie wanawake maisha ya wanaume yanguaje sijui, achana na ile kitu Hajar, bahati mbaya jukwaa hili si la wakubwa.
Haina maana yoyote zaidi ya kununua binti kutoka kwao. Hapo zamani ilimaanisha hivyo siku hizi wametohoa kidogo na kuwa kama heshima Kwa wakwe na binti. Lakini wanasahau kuwa watoto wote wana wazazi wanaostahili kupewa zawadi Kwa kulea.Mkuu unajua maana na dhumuni la mahari?
Kupika Tu na kufua ndio sababu ya kutoa mahari? Wewe kuleta chakula na mahitaji Kwa mwanamke badala ya wazazi wako huhitaji zawadi?Humuoi mwanamke kwa ajili ya kumfanya, mbona unaangalia kitu kimoja tu! mwanamke unamuoa ili akusaidie baadhi ya kazi nyumbani fikiria kwamba unapomuoa anaondoka kwenye utawala wake na kutawaliwa na amri zako na kukushughulikia baadhi ya mambo yako km kukupikia, kukufulia nk isitoshe anakubebea Mimba na kuzaa kwa uchungu mtoto anaetambulika km wako
Twawezwa.!tafiti amefanya nani??
Twawezwa.!
We wakikuletea usichukue waache walio tayari wapewe mahari zao. Ya wenzio yanakusumbua nini wewe mpita njia?Unafurahia kununua watu! shame upon you. Mahari ng'ombe 20 si ujuha huo
Hata wewe!! duh..Mmh. Kila kukicha mnageuza geuza mambo mwisho wa siku mtataka tuwawowe sasa.
Una upungufu /ukosefu wa nguvu za kiume ndo maana hufurahii tendo mkuu.Hiyo ni kwa mwanamke mpya sio Kwa zilipendwa. Zilipendwa hashtui hata akivua nguo xote, inakanaisha haraka kama akiwa na tabia ya kukaakaa uchi kila wakati
Hahahaa. Mie nina nini jamaani.Hata wewe!! duh..
labda busara zako zingekushawishi kupita kimya kimya.......duh.....ukaweka na kibwagizo kabisa..!!Hahahaa. Mie nina nini jamaani.
Kama hata yale ambayo yanawahusu na yanayoleta tofauti kati ya Me na Ke bado watu hawayataki. Tusemeje sasa.