Gentleman P
JF-Expert Member
- May 23, 2018
- 370
- 454
Mbona India wanawake ndo wanaoa...njoo na jipyaMmh. Kila kukicha mnageuza geuza mambo mwisho wa siku mtataka tuwawowe sasa.
Mbona India wanawake ndo wanaoa...njoo na jipyaMmh. Kila kukicha mnageuza geuza mambo mwisho wa siku mtataka tuwawowe sasa.
mwanaume anaejielewa karne hii hatoi mahari, na akilazimishwa na mira za ukweni anaoa kwa mkopo.Ni mtizamo wako tuu, waachie Wanaume wenzako watoe Mahari.
Hivyo nawewe unataka uole*e ama?Mbona India wanawake ndo wanaoa...njoo na jipya
Yaani bora umeliona Mkuu sababu wameanza kutoa mifano ya ajabu ajabu.Naona wanaume wanaanza kukwepa wajbu wao kwa kasi ya ajabu sana
Hahahaaa, Hajar umesababisha hadi mwiba wa samaki utake kunikwama kooni na huu uteja wa kuingia JF hata wakati wa kula maana sio kwa kuhamaki huko.....Mmh. Kila kukicha mnageuza geuza mambo mwisho wa siku mtataka tuwawowe sasa.
Ndio maana wanaume wa kihindi wanaolewaUtafiti wako lazima umeufanya kwa kutumia ile njia ya kujikuna panapowasha then uka`realise kipi kinapata raha kati ya kidole kinachokuna na pale panapowasha,obviously hawa KE wanapata raha kuliko sisi,watulipie tu mahari,hakuna namna...
Inasikitisha sana mkuu.... Wanaume wa ukweli tunazidi kutoweka kwenye uso wa DuniaYaani bora umeliona Mkuu sababu wameanza kutoa mifano ya ajabu ajabu.
Wakae tu Single kama hawajui kutoa mahari. Au waende wakaishi huko ambako wanaume wanafanyiwa kila kitu.
Umeonaeee. Itakuwa ni mila au imani zao.Hahahaaa, Hajar umesababisha hadi mwiba wa samaki utake kunikwama kooni na huu uteja wa kuingia JF hata wakati wa kula maana sio kwa kuhamaki huko.....
Hii kitu India ipo, Inawezekana Wahindi wanafanya hivyo sio kwasababu na wanawake wanasikia raha wakati mechi labada wao wanasababu nyingine za kidini au kimila
Kweli kabisa Mkuu.Inasikitisha sana mkuu.... Wanaume wa ukweli tunazidi kutoweka kwenye uso wa Dunia
Wapo walioolewa mbonaMmh. Kila kukicha mnageuza geuza mambo mwisho wa siku mtataka tuwawowe sasa.
Kama ni hapa Tanzania sidhani kama ni kwa kutaka kwao lazima kuna kitu nyuma ya pazia kama sio kutaka kulelewa basi ni wale kina naniliu wenye mambo ya kike.Wapo walioolewa mbona
Mwanaume raha yake ni kumuona mwanamke akiwa kama alivyozaliwa na pili kufikia mshindo, hilo la pili sasa ndio linawekewa mbwembwe na madoido ikiwemo mwanaume kuhakikisha katika safari yake hiyo kuelekea mlima Kilimanjaro hamuachi mwenzake na ikiwezekana amtangulize kumpandisha yeye kwanza,Umeonaeee. Itakuwa ni mila au imani zao.
Nataka nikuulize swali la kizushi Hajar mie tena la kizushi hasaa Sesten. [emoji85] [emoji85]
Kwani wanaume huwa mnasikia raha au hamsikii raha muda wa ile naniliu?
Mario wapo wengi sanaKama ni hapa Tanzania sidhani kama ni kwa kutaka kwao lazima kuna kitu nyuma ya pazia kama sio kutaka kulelewa basi ni wale kina naniliu wenye mambo ya kike.
Yaani Masho*a.
Ooh. Kumbe raha ipo inatosha hiyo hiyo hivyo mtulipiage tu hizo Mahari. Mie nikajua hamsikii kitu basi. [emoji85]Mwanaume raha yake ni kumuona mwanamke akiwa kama alivyozaliwa na pili kufikia mshindo, hilo la pili sasa ndio linawekewa mbwembwe na madoido ikiwemo mwanaume kuhakikisha katika safari yake hiyo kuelekea mlima Kilimanjaro hamuachi mwenzake na ikiwezekana amtangulize kumpandisha yeye kwanza,
Kwa raha kweli tunasikia raha na bila nyie wanawake maisha ya wanaume yanguaje sijui, achana na ile kitu Hajar, bahati mbaya jukwaa hili si la wakubwa.