Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,714
- 128,398
Ewaaaaa. Vyombo viache kwa leo ili tupange mipango ya msingi.Mi tena wala sipigi vyombo leo nisije nikakukera Hajar na kikao kikavunjika maana nakujua wewe mtu wa juice au kidooogo gahawa na halua