'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

Mwanzoni shule za binafsi zilikua ni za mashirika kama vile taasisi za dini na Jumuiya ya wazazi wa CCM.
Leo hii mafisadi walioko serikalini wanakwapua mijihela wanakwenda kujenga mashule na kuweka ada kubwa kila kukicha. Hii sio sawa kabisa.
Kuna mambo mawili sasa .
Mafisadi wanajenga shule na wateja wao wengi ni wakwepa ushuru na wala rushwa.
Watu wanapigana kufa na kupona ili watoto wao wasome kwenye hizi shule za kibiashara ambazo watoto wanakaa bila hata kudeki mabweni yao wanamolala kwani kuna mtu maalumu wa kufanya kazi hiyo na anayelipia ni mzazi. Tunazalisha wasomi wasioweza kujitegemea zaidi ya kuajiriwa na kuishi kijanjajanja kwani hawapendi kazi za mikono.
Ni lazima pawe na ada elekezi kulingana na mazingira ya mtanzania.
Na pia pawe na madaraja ya shule na madaraja ya ada hizo.

Kwa mfano JKT ni ya umma lakini bei yake ni kubwa mno.Walimu wake asilimia kubwa wanalipwa na umma lakini bei zake zipo juu sana. Hii inakuaje?
Matokeo yake badala ya kujenga mashule ya mfano wa JKT kila mkoa watumishi wa hizo shule hasa wakuu wa shule hizo wanajineemesha kwa kuwakamua watanzania maskini. Wengine wanadiriki hata kujenga shule zao binafsi. Hii inakuaje?
Sio sawa kabisa.Shule ya umma kuwa na ada kubwa kuliko ada elekezi ni jambo lisilofaa kabisa. Panaibuka kakundi ka watu wachache kanakojinufaisha kwa kutumia mali za umma.
Serikali ianze kurekebisha ada za hizi shule za umma ziliziko chini ya taasisi zake kama JKT n.k.

Pia taasisi kama magereza,chama cha walimu,taasisi ya elimu ya juu jeshi la Polisi wawezeshwe kutoa huduma ya mashule kama mfano wa ada za kiwango cha kawaida.
 
Watu mnamtukana mleta mada wakati kaleta mawazo yake. Kwani hizo shule za private ambazo unalipa mamilioni mmelazimishwa kupeleka watoto huko?

Ni sawa na maduka ya nguo yapo yanayouza nguo flani kwa elfu kumi ila nguo hiyohiyo kwingine ikauzwa laki mbili, hujalazimishwa kununua.

Hapa mamlaka husika imekosea kabisa, wapewe shule kila mwanafunzi akilipa buku kwa siku tuone kama wataweza kutumia hiyo hela kumlisha mwanafunzi milo mitatu na kulipa walimu. It is stupid, yani hilo hata kilaza analiona wazi kabisa.

Elimu ni huduma haiwezi achwa ifanywe kama biashara ya nguo
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

hapa nakuunga mkono mkuu, kuna huduma nyingine hazina mbadala na ni za msingi kama vile maji na umeme, huduma kama hizi ndio unatakiwa kuweka kikomo cha gharama ili wananchi wote wamudu,ila ishu za shule mbadala upo mtu akiona zipo juu sana anampeleka serikalini,magufuli atafute mshauri mzuri wa kiuchumi
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Kuna watu watajenga shule kwa kukopa benki halafu wanataka wazazi walipe riba ya mkopo pamoja na kulipa gharama za majengo! Wanataka kurejesha mikopo kwa muda mfupi kwa fedha za wazazi! Huo ni wizi. Mzazi anastahili kulipia masomo (tuition) kwa day school na masomo na malazi kwa bweni. Hizi ndizo gharama ndizo serikali inathibiti. Kama kuna huduma za ziada kibali ni lazima. Acheni ubinafsi.
 
Walimu wana hoji iweje serikali iingilie ada zao wakati wao ni watu binafsi...huku wakati huo huo wamiliki wa mashule wanaiomba serikali idhibiti bei ya upandaji wa mafuta unaofanywa na wafanyabiashara wa mafuta nchini.

Wamiliki wa mashule acheni umbulula. Hapa haipandishwi ada, hutaki funga shule. Na bei elekezi ndio hiyo.
 
Aiseee hii ni kitu ilizidi kwa kweli....mfano shule za seminary chukulia mfano visiga seminary as a reference ile shule wanafunzi wanalipa ada ya kutosha tuuu lakini pia tunaichangia kanisani....pia wakina mama (wawata) wamepewa jukumu la kuilea shule hiyo na askofu so lazima waichangie kupitia ile ada yao ya kila mwezi.....nadhani shule kama hii ilistahiki kabisa wanafunzi wasome bure!!
 
huu ni ubepali wa kijamaa mguu ndan mguu nje safi sana
 
Ingekuwa mm ningepeleka mswada bungen kwamba ukisha kuwa mtumishi wa uma ni lazima mtoto wako asome shule za serikali,familia zitibiwe kwenye hospital za serikali najua hiyo ingesaidia kuboresha hizo huduma,nakumbuka kipindi tupo shule kipindi hicho tulikuwa tunasoma na watoto wa watumishi wa uma kama wakuu wa mikoa au wilaya lkn siku hizi c dhan kama kuna mtu anapeleka mtoto wake huko..

Kula like mkuu, naunga mkono hoja mia kwa mia
 
Wanadai hela za ujenzi halafu hawajengi.Acha wabaki na hizo walizoiba. Ila zumeshuhwa mno. Watoto 30 ni Ml.4,500,000. Mishahara itatoka wapi?
 
mafuta na usafiri ni tofauti na elimu. kwenda shule binafsi sio lazima, ni uwezo wa mtu. ila kupanda daladala utapanda tu, au la utembee au uwe na gari yako. vile vile kwa mafuta, lazima tu utanunua kama unahitaji na ndiyo maana kuna bei elekezi!

Kwenda shule binafsi sio lazima eeh..shukuru wanao walifaulu na kupata nafasi shule za serikali..
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Nyie ndio huwa mnasaini mikataba bila kusoma kilichoandikwa,ona sasa hata Sheria ya elimu huijui au unafanya makusudi tu?
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Reagan unataka kutuambia watu wapitishe makontena bila kulipia kodi au shule binafsi zitoze zitakavyo? Mbona wauza mafuta, maji na umeme wana bei elekezi? Ushindwe na laissez faire wako!!
 
reagan unataka kutuambia watu wapitishe makontena bila kulipia kodi au shule binafsi zitoze zitakavyo? Mbona wauza mafuta, maji na umeme wana bei elekezi? Ushindwe na laissez faire wako!!

mkuu hilo la makontena liache kabisa halihusiki hapa!
 
Ubepari uko hivi. Kama una uwezo tumia kama hauna acha! Kwa mfano kwenye maduka ya kawaida Soda inauzwa Shilingi 600 wakati kwenye hoteli kubwa na za kitalii au hata kwenye baadhi ya Bar soda hiyo hiyo utauziwa kwa shilingi 1000 mpaka 1,500, Uchaguzi ni wako. Kama hizi shule zitakosa wateja kutokana na ada zao kuwa kubwa si zitakufa zenyewe? Tatizo letu Watanzania tunapenda kuwa mabepari kwa kutumia fikra za kijamaa!!
 
Mleta mada ni jitu hatari anaprnda wananchi kuzulumiwa ,heko Rais hata mimi nimekukubali una akili sana.
 
Pengine amefanya haraka. Pengine amefanya makosa kutowashirikisha wadau.....lakini asili ya fikra ni njema kabisa. Huwezi kuwa na taifa lenye watu wanaoweza kulipa ada ya milioni 8 na wengi hawawezi hata asilimia 1 ya hizo. Tena kwa kipato gani cha halali? Kweli,, watu wangapi Tanzania wanaweza kulipa ada hiyo kutokana na kipato halali?Hii pia ni moja ya kupigana a rushwa.
Sal si Ujamaa hapa, kwani ubepari unaruhusu wizi?
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Wewe ni mjinga kabisa kwa hio unatakau uendelee kukus anya mahela? Wewe ni mpuuzi sana hujajua tunavyoteseka na kulipa ada sio ?huna huruma hata usipokuwepo hamna hasara
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Tumekaa na huo ubepari miaka zaidi ya ishirini Umetusaidia nini?.....hebu acha mambo ya kijingajinga ya kukaa unamtukana rais wetu kama unaona huwezi kuendesha shule acha....shule zenyewe si private ........wala hazina umuhim saaaaana.
 
Ujinga ni kuanzisha mada ya jambo usilo na weledi nalo. Hakuna taifa lisilo na mfumo wa Bei elekezi kwa kuwa wafanyabiashara by nature ni Profit maximizer. lengo la serikali ni kulinda na kutetea maslahi ya Raia na ndio sababu utakuta wakati mwingine inatoa ruzuku mpaka kwa taasisi binafsi kama shule na hospital ili kuboresha huduma zao, Hutoa misamaha ya kodi kwa taasisi hizo n.k ndio sababu kwny uchumi unaambiwa hakuna pure capitalist state or pure socialist state kazi ya serikal ni kuingilia ili kulinda maslahi ya Raia wakati wowote. Mbona hulalamiki wakipanga bei elekezi ya Fuel, nauli n.k Ile tabia yenu ya kujipandishia ada kama vile Nchi haina serikal ilifika mwishi siku jk alipokabidhi madaraka nov 5. mnawatoza wazazi na walezi ada halafu ikitokea mnataka kuongez Madarasa mnaitisha michango ya ujenzi kama vile ni shule ya serikal mbona Bakhresa au Mengi akitaka kutanua biashara zao wanaenda benk au ku issue share badala ya kutembeza bakuli kwa wateja? mnataka mruhusiwe mcharge gharama kibiashara lakin hamuendeshi kazi zenu kibiashara kutwa mko wizarani kuomba ruzuku na misamaha ya kodi, wazazi wanalipa kodi lakin kila mpango wa kuendeleza shule lazima mkamue wazazi nje ya ada wanayolipa. Hili jipu lishatumbuliwa kazi iliyobaki ni kusafisha tu kidonda. Jk alipelekewa hiyo sera muda mrefu akawa anawaonea aibu sasa kazi kapewa Kauzu zaidi ya Dagaa mwendo wa sura ya mbuzi hakuna kuchekeana
Hakuna tatizo ada 200,000 cautions money 800,000 repair & mantainance 700,000, remedial 600,000 , joint exams 990,000 , teachers motivation 460,000 ambae ataki apeleke huko wanakofeli na walimu wanakopiga soga
 
Back
Top Bottom