Ibada ya kwanza
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 3,282
- 1,810
Ada zishushwe ili na sisi tulpeleke wa kwetu feza na loyala na st francis
Watu mnamtukana mleta mada wakati kaleta mawazo yake. Kwani hizo shule za private ambazo unalipa mamilioni mmelazimishwa kupeleka watoto huko?
Ni sawa na maduka ya nguo yapo yanayouza nguo flani kwa elfu kumi ila nguo hiyohiyo kwingine ikauzwa laki mbili, hujalazimishwa kununua.
Hapa mamlaka husika imekosea kabisa, wapewe shule kila mwanafunzi akilipa buku kwa siku tuone kama wataweza kutumia hiyo hela kumlisha mwanafunzi milo mitatu na kulipa walimu. It is stupid, yani hilo hata kilaza analiona wazi kabisa.
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta! Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi". Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule! Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?! Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!
Nyinyi ndio mliofanya wafanyakazi wawe wezi, ada kila mwaka juu , kodi za nyumba zinapaa , bidhaa muhimu zinafumka tu bei ....hakuna true free economy dunia nzima ....kuna public goods lazima serikali iwe na mkono ...
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta! Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi". Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule! Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?! Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!
pole mkuu! inchi haiwezi kuwa hivyo mpaka kuwe na ada elekezi
ndio amri ishatoka, ukitaka kufunga shule we funga tu. ibadili kwa matumizimengine
naogopa kukufundisha au kukuelekeza kwa upana na undani, maana akili yako hajawa tayari
Hili ni taifa, sio kijiwe cha wakimbizi
Hawa wenye shule za private wapumbavu kweli, waliniuzi sana walipomfukuza kijana wangu shule eti alipe laki mbili kwa ajiri ya ujenzi wa maabara na wakakomenti eti kumbuka hili ni agizo la rais nchi nzima kila shule iwe na maabara. Mm nikajiuliza sasa kwa shule binafsi mm ndio najenga maabara?
Walikomaa mpaka nikalipa
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta! Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi". Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule! Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?! Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!
Ndugu kama wewe huna uwezo wa kupeleka watoto wako shule za maana ni bora ukakaa kimya tambua kila kitu kizuri kinahitaji gharama.Hivi watanzania mnataka nn jamani? Mbebwe migongoni na raisi ndo muone serikali inafanya kazi, mshatunyonya sana na upandishaji wenu wa ada kiholela mmefanya shule kuwa biashara, hizo ada elekezi zitasaidia sana, tulipokuwa tunaelekea ada za nursery tu zingefika 5ml
Hawa wenye shule za private wapumbavu kweli, waliniuzi sana walipomfukuza kijana wangu shule eti alipe laki mbili kwa ajiri ya ujenzi wa maabara na wakakomenti eti kumbuka hili ni agizo la rais nchi nzima kila shule iwe na maabara. Mm nikajiuliza sasa kwa shule binafsi mm ndio najenga maabara?
Walikomaa mpaka nikalipa
Ndugu kama wewe huna uwezo wa kupeleka watoto wako shule za maana ni bora ukakaa kimya tambua kila kitu kizuri kinahitaji gharama.