jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,021
Serikali lazima iingilie kati haswa kwenye mazingira ambayo watu kama nyie mna abuse concept ya "Free Market" au Soko huria...kwaufupi, lazima muwe regulated...kama hutaki nenda Uganda kaanzishe shule...huko hakuna regulations, unaweza ukaenda uchochoroni ukakutana na shule inaitwa Manchester University college nursery primary high-school....
Mkuu hapo kwenye Manchester University College....umenivunja mbavu.