'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

kupanga bei shule binafsi ni kuua elimu, udikteta na ujinga mkubwa. wanataka shule zote ziwe kama za kata.
 
Khaa!! Bado kuna majipu mengi ya kutumbuliwa. Kwa akili hizi basi Sumatra na ewura nk zifutiliwe mbali :mvutaji:
 
Ada elekezi ni kwa mujibu wa Sheria ya Elimu ya mwaka 1979. Mwenye shule binafsi haruhusiwi kuongeza ada bila kibali cha Kamishna wa Elimu. Ada elekezi zilizopo sasa zilitolewa mwaka 2008 na mpya zitatolewa tarehe 15 December 2015. Hapa hakuna jipya; ni utawala wa sheria tu. Kwenye utoaji elimu hakuna dhana ya mirengo ya kiitikadi. Katika nchi karibu zote zilizoendelea elimu ya msingi (na sekondari) hutolewa bila malipo na serikali na shule binafsi za kibiashara haziruhusiwi. Ujamaa na Upepari ni mifumo ya kisiasa/kiuchumi inayohusiana na umiliki, uzalishaji na kugawana mali; utoaji elimu uko nje ya hii mifumo.
 
bila shaka ww ni mnufaika... Kazi moja wapo ya serikali ni kuwa regulator kwamba matendo ya watu binafsi kwenye secta zenye public interests lazima yatazamwe kwa undani hasa athari zake kwa jamii
hivyo basi ni jukumu la serikali ku regulate elimu kwasababu ni jukumu lake ku assure elimu bora kwa jamii
ukija kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa sealing and floating prices kwahiyo lazima ada ziwe regulated wala siyo ombi kwakua elimu ni public interest
nb: Shule za serikali zita compete vp na private wkt private wanatoza bei za ajabu na kupora walimu wote wazuri toka serikalini kwakua wana uhakika wa kuwamwagia mapesa?

kwanza mkuu nikuhakikishie sina shule yoyote wala mpango wa kujenga shule siku yoyote mahala popote. Sasa naomba nikwambie kwamba hili la serikali kushindwa kushindana na sekta binafsi na badala yake imechagua kupambana na ukuaji wa sekta binafsi ni dalili za ufisadi kuota mizizi. Nitaje kwa majina tu na naamini utanielewa. Reli, air tanzania, nyanza, shireku nk.
 
Jamaa kaguswa ndiyo maana anapiga kelele kama kakalia msumari...awe mpole tu dozi imwingie vizuri na wenzake maana ada zao ni za juu na zilikuwa haziendani na kiwango cha elimu waitoayo!!😀😀😀😀
 
hili jamaa ndilo jinga la kwanza ambalo pesa zake za kujenga shule zimezipata kwenye ufisadi, humo ndipo linaficha pesa zake kuona linafanya kazi huku linaendelea kupinga tu, wewe jipu kubwa fungeni shule zenu muone kama serikali itazidiwa na wanafunzi, bei elekezi ni murua inaondoa matabaka.
 
Kuwa na ada elekezi siyo mbaya. Ila mbaya ni kupanga ada. Huduma na miundo mbinu kwenye hizi shule inatofautiana sana. Hapo ndipo ninapoona ugumu wa zoezi hili. Ni lazima kazi ya ziada ifanyike ili kuweza kutengeneza bei elekezi zinazo cover shule za maeneo yote.

Kuanzia watu waanze kulalamikia hili tatizo walishindwa kutofautisha kati ya ada elekezi na kupanga ada, hapa pataacha watu wengi wakipiga kelele halafu wanachokipigia kilele hata hawajakielewa
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

dah!
nchi hii imeshakuwa na mabwanyenye.
 
Huna akil au umeguswa mlizoea huku mkiiba mtihan kama huko kahama, mbona unasema bila kujiuliza kwa nini umeme maji mafuta nauri kuna bei elekezi kwan wanunuz wa mabas wanachangiwa na serikal ni mjinga tuu kama ulivyomjinga wewe hadi unakurupuka kupost ujinga
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Mrija umekatwa teh teh teh teh....
 
Utakuwa mmilki wa shule wewe, hata kama ni shule binafsi sio uweke bei unayotaka wewe, by the way elimu ni huduma na ndio maana kuna baadhi ya vitu wamilki hawalipi ikiwemo hiyo kodi unayosema. Wenye mabasi, vituo vya mafuta na wengine wana bei elekezi kwanini sio hizi shule. Serikali inatambua haki ya raia yoyote kupeleka mwanafunzi kwenye shule binafsi au shule yoyote anayotaka mzazi lakini pia inapenda raia wake wapate elimu kulingana na gharama halisi. Kiberiti hata kama una uwezo kikiuzwa 1000 unaibiwa serikali inatakiwa iingilie lakini hicho hicho kikiuzwa 300 wakati bei halisi ni 100 au 50 serikali itamezea na ndivyo na kwenye shule yaani unapotoza 3 million na huduma unazotoa pamoja na stahiki za walimu ziende sambamba na hiyo ada. (tatizo mleta uzi umeelewa vibaya na nyie ndio wale watu wenye umimi yaani kwa kuwa una uwezo wa kutoa hela yoyote basi watu wakihoji bei wanaonekana ni wajamaa, watu kama nyie ndo mmechangia mpaka leo mchele unafika buku 2 na kwa kuwa mna uwezo maona kawaida)
 
Kwenye kodi ya nyumba inabidi madalali washughulikiwe. Ni watu wabaya kabisa kwa ustawi wa miji. Bei ya nyumba za kupangisha mijini hazishikiki kabisa!
 
Ujinga ni kuanzisha mada ya jambo usilo na weledi nalo. Hakuna taifa lisilo na mfumo wa Bei elekezi kwa kuwa wafanyabiashara by nature ni Profit maximizer. lengo la serikali ni kulinda na kutetea maslahi ya Raia na ndio sababu utakuta wakati mwingine inatoa ruzuku mpaka kwa taasisi binafsi kama shule na hospital ili kuboresha huduma zao, Hutoa misamaha ya kodi kwa taasisi hizo n.k ndio sababu kwny uchumi unaambiwa hakuna pure capitalist state or pure socialist state kazi ya serikal ni kuingilia ili kulinda maslahi ya Raia wakati wowote. Mbona hulalamiki wakipanga bei elekezi ya Fuel, nauli n.k Ile tabia yenu ya kujipandishia ada kama vile Nchi haina serikal ilifika mwishi siku jk alipokabidhi madaraka nov 5. mnawatoza wazazi na walezi ada halafu ikitokea mnataka kuongez Madarasa mnaitisha michango ya ujenzi kama vile ni shule ya serikal mbona Bakhresa au Mengi akitaka kutanua biashara zao wanaenda benk au ku issue share badala ya kutembeza bakuli kwa wateja? mnataka mruhusiwe mcharge gharama kibiashara lakin hamuendeshi kazi zenu kibiashara kutwa mko wizarani kuomba ruzuku na misamaha ya kodi, wazazi wanalipa kodi lakin kila mpango wa kuendeleza shule lazima mkamue wazazi nje ya ada wanayolipa. Hili jipu lishatumbuliwa kazi iliyobaki ni kusafisha tu kidonda. Jk alipelekewa hiyo sera muda mrefu akawa anawaonea aibu sasa kazi kapewa Kauzu zaidi ya Dagaa mwendo wa sura ya mbuzi hakuna kuchekeana

ni kweli kuna shule zinatoza ada kubwa. na ni jukumu la serikali kuregurate bei katika soko huria ila cha msingi ni hesabu ziwekwe mezani,

wataalamu wetu waje na gharama halisi za kumsomesha mwanafunzi wa kutwa na bweni, na hivi viwango viwe realistic

mimi nimekokotoa kwa hesabu nimeona gharama zinakuja minimum ya .tsh 700,000/= kwa mwaka kwa mwanafunzi wa kutwa bila chakula
2. minimum ya tsh1,300,000/=.kwa mwnafunzi wa kutwa ikiwa atapatiwa chakulashuleni

3.ghamarama ya mwanafunzi wa bweni ni minimum ni tsh 2,000,000/=
tuanzie hapo kama serikali itatoa bei elekezi chini ya gharama halisi basi iwe tayari kusubsdize hiyo difference

vinginevyo serikali iimarishe shule za umma ili automatically hizo shule zishushe bei kwa kupungua kwa wanafunzi watakaoenda shule za umma,

kingine ni juu ya serikali kumonitor na kuregulate vyanzo mapato ya wananchi wake ili kuwanya watu waishi kwa mapato halali, ikiwa ni pamoja na kudhibiti hela haramu ambazo zina inflate gharama za huduma mbalimbali bila ya usawa, kwa mkakati huu automaticaly hizo shule zitakosa wateja na hivyo kulazimika kushusha ada ili iendane na hali halisi ya uchumi wa watu wengi

mfano mdogo tu kama hao jamaa wa TRA au TPA au wauza PODA wao hawaoni gharama kumpleka mtoto shule ya sh mil!10. kwa mwaka au kwenda kutumbua chunusi hospitali ya aghakan kwa sh mili 10tu.kwa kuwa wanazo heza za bure.

nadhani mbinu hii ya kudhibiti hela chafu kwenye mzungukona kuhakikisha watu wanaishi kwa pato halali inaweza kuwa ndo solution sahihi kushusha gharama za huduma muhimu endelevu zaidi kuliko ya bei elekezi
 
hizi shule hazifai ukienda kuomba kufundisha kama mwana chuokikuu wanazingua sana but kwa form 4&6 leavers ni rahisi kupata nafasi. eti kisa utahitaji posho kubwa , hao wapiga madili tu. Prezidaa fanya kazi ee baba
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

mkuu nitajie hizo shule binafsi zinazotoa hiyo elimu bora

SINA MAANA SHULE BINAFSI NDIZO ZENYE ELIMU BORA MKUU NEMO JUDEX (IN CAUSA SUA).
 
Our economy is a mixed economy,in fact all economies are mixed economies...there is no pure demand nor capitalist economy.The government must interfere from time to time to stabilize things.
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

hili nalo ni jipu. mwaka huu mtatumbuliwa tu mwanzo mwisho
 
Nadhani ni lugha uliyotumia tu haina staha ila ukweli unabaki pale pale. Kwenye uchumi wa soko demand and supply hurekebisha bei. Serikali kama inataka isiue elimu iziache shule za binafsi zijiendeshe so longer as5zinafuata mitaala sahihi. Wakiona hawapati wanafunzi watashusha ada wao wenyewe. Hatuwezi kutamani elimu bora kwa watoto wetu halafu tukwepe gharama. Kama mtu anauwezo aachwe amlipie mtoto wake asiye na uwezo apeleke mtoto shule za serikali. Otherwize tukiziingilia sana hizi shule tutarudi tena kupeleka watoto wetu Uganda au Kenya kusoma primary school
 
Back
Top Bottom