Ujinga sasa basi: Kinana tuoneeni huruma watanzania

Acha kulialia bana, fanya kazi, wewe ulitaka upewe kiwanja msasani? Au Kinana akupe nyumba? We unafikiri kuwa mtanzania ndio unahaki upewe vya bure? Vijana wengi tu wamefanikiwa na hawakusubiri vya bure.

Ndo laana mliyo nayo ccm, hata akibaka mkeo kwa kuwa ni mwanachama mwenzio utamtetea kwa maslahi ya chama,dadadeki
 
Kwa sasa naishi Haile-slaisie road nimepanga tu, mwanzaoni kabisa mwa peninsula la Masawani, wewe kaishi Mabwepande Mie nakwambiaje Masasani HII hii Lazima Nijenge, Lazima Niishi hapa, Peninsula lote hili hatuwezi kuwaachia mbweha wajinafasi Kwa dhambi gani niliyo nayo..

Lazima Nijenge HAPA.. FULL STOP..
 
Hivi hawa wanachama wa chama hiki wanakubalije kuongozwa na jangili? Anyway ngoja nikalale najua wenzangu wanaweza kunitajia orodha ya mafisadi ndani ya chama hiki cha majangili na wizi walioufanya na kupata hasira bure!.. MAANA CHAMA HIKI KIMEJAA MIJIZI!

Hakuna msafi Hata mmoja aliyeko CCM , I believe..
 
Kama mwenyekiti wetu alivyofunga ukoo mzima wa Babu Seya kisa demu wa Sinza, mwaka huu moto mtauona, mnarusha mawe wakati nyumba zenu za vioo!!??? ngoja tuwaache uchi hadi kende zenu wezi wakubwa nyie
Fanyeni kazi jamani, kulialia haitawasaidia.
 
duh AMA WEWE KWELI FIDHULI, MNAFIKI, NA UNANUKA VUNDO LA WAONGO, YOTE ULIYAYESEMA HAPA NI PROPAGANDER YA KUTAKA KUMHARIBIA JINA, NDUGU KINANA, HUTAMWEZA HATA KIDOGO. THIS MAN HAS THE BLESSINGS OF MANY TANZANIANS AND HIS PARENTS, NA HATA ZA MAREHEMU BABA WA TAIFA.

NA SI FISADI WALA HANA ASILI HIYO HATA SIKU MOJA, HAYO MAJUMBA UNAYO YASEMA NI NDOTO ZAKO ZA MCHANA. UTAENDELEA KUOTA, NAONA WEWE NI ASKARI WA KUKODISHWA, BUT A VERY POOR ONE WITHOUT ANY DISCIPLINE, WALIOKUKODISHA WAMEKULA HASARA. NA INJAVYOELEKEA WEWE ULIKUWA MTU WA KARIBU SANA NA KINANA, KWANI YAELEKEA KAMA UNAWAJUA FAMILIA YAKE, HEBU UCHUNGUZWE PENGINE ALIKATAA KUKUFANYIA FAVOR NDIO MAANA UNA TAKA KUMSEMA, JAMAAAAAAAAANI HAMUMWEZI KINANA HE IS ABOVE YOU GUYS N BETTER MAN TOO.
 
kuna kitu ambacho wanaccm wanasahau wanachukua mda mwngi kuzungumzia mambo ya kipumbavu, lkn kuzungumzia mtu ambaye anahujumu uchumi au masuala muhimu ya kitaifa hawana mda. mhujumu uchumi amepewa uongozi wa juu kabisa mpaka mda huu vuvuzela hajatoa kauli kuhusiana na huyo mhujumu uchumi ingekuwa slaa hapa angeongea sana hata kama ni masuala yake binafsi ambayo hayaendani na utendaji wa chama chake au taifa.Tunaomba Nape atoe kauli kuhusu ili suala mhujumu uchumi anachukuliwa hatua gani.
 
Kinana hata sura yake inaonyesha ni jangili, jk ndiyo kabisaaaaaaaa! Ogopa sana humble faces! Huwa mioyoni mwao ni wauwaji paseeeeeeeeeeee! Puuuuuuuu liserikali la ccm.

Ndiyo maana nikisiaga kuwa kuna watu bado wapo ccm, na wanai-suport. Huwa siwaelewi hata kidogo, nawaona wapofu mioyoni mwao, na dhamira zao zimekufa, kutokuona madudu ya ccm, ni sawa na kujiua mwili na roho!
 
duh AMA WEWE KWELI FIDHULI, MNAFIKI, NA UNANUKA VUNDO LA WAONGO, YOTE ULIYAYESEMA HAPA NI PROPAGANDER YA KUTAKA KUMHARIBIA JINA, NDUGU KINANA, HUTAMWEZA HATA KIDOGO. THIS MAN HAS THE BLESSINGS OF MANY TANZANIANS AND HIS PARENTS, NA HATA ZA MAREHEMU BABA WA TAIFA.

NA SI FISADI WALA HANA ASILI HIYO HATA SIKU MOJA, HAYO MAJUMBA UNAYO YASEMA NI NDOTO ZAKO ZA MCHANA. UTAENDELEA KUOTA, NAONA WEWE NI ASKARI WA KUKODISHWA, BUT A VERY POOR ONE WITHOUT ANY DISCIPLINE, WALIOKUKODISHA WAMEKULA HASARA. NA INJAVYOELEKEA WEWE ULIKUWA MTU WA KARIBU SANA NA KINANA, KWANI YAELEKEA KAMA UNAWAJUA FAMILIA YAKE, HEBU UCHUNGUZWE PENGINE ALIKATAA KUKUFANYIA FAVOR NDIO MAANA UNA TAKA KUMSEMA, JAMAAAAAAAAANI HAMUMWEZI KINANA HE IS ABOVE YOU GUYS N BETTER MAN TOO.
WEWE UNAMTETEA NA KUMPIGIA DEBE, KAMA NANI?? WEWE NI TONE LA CHUMVI BAHARINI!! WANANCHI WANATESEKA KUTOKANA NA WACHACHE KUJINUFAISHA, WEWE UPO HAPA KUMKINGIA KIFUA HUYO JANGILI! HATUDANGANYIKI NDUGU, HATUNA UPOFU HUO KWA SASA.

KINANA ANAWAKILISHA KUNDI KUBWA LA WALAFI NA MAJANGILI YASIYO NA HOFU YA MUNGU MIOYONI MWAO! jamani kuna hukumu, watendeeni haki watanzania! viongozi wa nchi hii acheni kuwa n aroho ya ki-shetani, kuna siku woteeeeeeemimi na nyinyi, TUTAJIBU!
 
Hakuna msafi Hata mmoja aliyeko CCM , I believe..
I SECOND U! KUMEJAA MATAPELI, WEZI, MAJAMBAZI, MASHETANI, MAJANGILI, MAFISADI, WACHUMIA TUMBO, WAUWAJI! NI KUWATEMA puuuuuuuuuuuuuu!
 
Ndo laana mliyo nayo ccm, hata akibaka mkeo kwa kuwa ni mwanachama mwenzio utamtetea kwa maslahi ya chama,dadadeki
kila siku huwa nasema NI BORA KUJIJUA KUWA WEWE NI MUATHIRIKA WA HIV, AU UMEPATA CANCER YA MOYO, kuliko kuwa mwanachama wa ccm. waliopo ccm, majority hawana UTU mioyoni mwao!
 
duh AMA WEWE KWELI FIDHULI, MNAFIKI, NA UNANUKA VUNDO LA WAONGO, YOTE ULIYAYESEMA HAPA NI PROPAGANDER YA KUTAKA KUMHARIBIA JINA, NDUGU KINANA, HUTAMWEZA HATA KIDOGO. THIS MAN HAS THE BLESSINGS OF MANY TANZANIANS AND HIS PARENTS, NA HATA ZA MAREHEMU BABA WA TAIFA.

NA SI FISADI WALA HANA ASILI HIYO HATA SIKU MOJA, HAYO MAJUMBA UNAYO YASEMA NI NDOTO ZAKO ZA MCHANA. UTAENDELEA KUOTA, NAONA WEWE NI ASKARI WA KUKODISHWA, BUT A VERY POOR ONE WITHOUT ANY DISCIPLINE, WALIOKUKODISHA WAMEKULA HASARA. NA INJAVYOELEKEA WEWE ULIKUWA MTU WA KARIBU SANA NA KINANA, KWANI YAELEKEA KAMA UNAWAJUA FAMILIA YAKE, HEBU UCHUNGUZWE PENGINE ALIKATAA KUKUFANYIA FAVOR NDIO MAANA UNA TAKA KUMSEMA, JAMAAAAAAAAANI HAMUMWEZI KINANA HE IS ABOVE YOU GUYS N BETTER MAN TOO.

.....
ULAANIWE WEWE.. Unadhani tunachekelea upuuzi sie? Mbona unakosa Moyo wa Utu.. Nani anafurahia kuibiwa NANI..!!??? NASEMA NANIII..??!??? We, Laana Za watanzania wanaokufa maskini, wanaoteseka, wanaokandamizwa, wanaodidimizwa, wanaouliwa bila makosa yoyote ZIKUFIKIE WEWE unayeshabikia uozo Kwa maslahi ya keki Za kisiasa.. Shetani nani atuogopa Hata Kama ni wewe, Hivi kweli una moyo wa namna gani kushabikia wizi Wa kiasi hiki..!!?? Na kuanzia sasa hivi, nikivamiwa hapa Haile selasi Wa kwanza kumsaka ni wewe..!! Niko tayari anifanye atakavyo, keshakula vya watanzania mie KWANINI asinile?.. Aje tu anile, Kwa maisha haya mliyotupa ni sawa Na ufu tu... Sijui mtatuua mara ngapi..?

Kama Yeye ni mahiri embu athubutu kutangaza mali zake Na zile atazozisaza LAZIMA tujichukulie.. We OMBA hiyo 2015 CCM iendelee kuwepo hadi milele, iko siku, nasema iko siku machozi ya Watanzania yatafika kunakofikika.. I am here..
 
Kikwete akili yake sijui niifananishe na nini.Jamani mbona Wasomali ni watu wa hovyo sana.SASA MSOMALI,TENA MSOMALI CORRUPT,UNAMUWEKA KUWA KATIBU MKUU WA CHAMA CHAKO,unategemea nini.Si tuhuma tu na chama kuzidi kuchukiwa na wananchi.I must be frank, sijawahi kumuona Msomali msafi.Jamani si mnaona Somalia.Ile ndio sura halisi ya Wasomali.Sasa wewe Kikwete vipi?
Unajua Watanzania Tumezidi Ujinga sana, Yaani tunapelekwa pelekwa tu Kama misukule flani Na tunaridhika kabisa tu.. Jambazi, Mwizi wa Mali ya Umma, mdhulmati mkubwa, Bado anakumbatiwa tu Na watanzania tupo Na nchi ipo??!!? Tumekuwa zombie kiasi gani jamani..

Nchi HII ni Mali yetu sote jamani, Sio Kwamba nakuonea gere Kinana no!, Nchi sisi sote tuna haki nayo Hakuna mwenye hati Miliki Na Nchi hii..Lazima iwe Na Moyo wa Ubinaadamu Hata kidogo jamani, kila kitu umiliki wewe tu HE!! Mbona mlafi hivyo?

Msasani yoote Imejaa Majumba yako, mbali Na Jumba lako kubwa sana karibu Na CHUO Cha Tanesco mahando st lakini Bado Mwaya street imejaa majumba yako, mengine umepangisha makampuni , hivi Kwani nyumba moja haitoshi Kama kiongozi nyingine Na sisi tukajipatia???, bado una viwanja huko huko Msasani Hata hujavijenga hivi sisi turithi Nini mbona mnatuonea hivyo.

Sisemi Kwa Ubaya lakini Kwani kuchelewa kuzaliwa ndio zambi kubwa yetu kiasi tukose pahala pa kuishi?

Basi ni Heri Hata ungewapatia wanao wakae Kwenye majumba hayo lakini wapi, wanao watatu Samira, Hamza Na Yasin wote umeshawatoroshea Kanada, umeshawajengea huko wanakula bata Mwanzo-Mwisho, bado hatujaongelea Majumba yako huko Arusha anapokaa Yule Kaka yako uliyempiga uchizi, hapo Bado hatujaongelea Bandari yako ya Kuuza magari Temeke, Hapo Bado hatujaongelea Kampuni yako ya kufua nguo zote Za mahoteli makubwa FALCON, hapo bado hatujaongelea umiliki wako makumi ya makampuni hapa Tanzainia Na Meli zake, Hatupingi Mtu kuwa Bilionea this way lakini Kwa kiongozi wa Chama ni mfano gani tunapata..??!!

Hata Kama ukikasirika kuweka mambo yako nje mbona hapa sijaanika ndo naanza, kiongozi lazima uwe mwadilifu Na Mtu asiye Na Uchu Wa Mali this way..

Sasa watanzania tunasimamia rasilimali zetu, Na najua mimi Na wewe ni marafiki Wa Muda mrefu sana ila Mwenzangu dhambi sasa Basi umezidisha mno.. Achia Mali Za watanzania, usipokubali kusalimu amri Mbele ya Watanzania Basi ntakwenda press Conference Na Kutangaza karatasi Kwa Karatazi Ufirauni wako Woote. Kisha freely ntakuruhusu unifanye unachotaka kunifanya, si mmezoea kuua?!?Mie sio Kama Regnald Mengi, unamtisha kidogo anatetemeka, Nunua magazeti yote , Chimba biti Wahariri wakuu Wa magazeti yoote wasiandike habari zako lakini jua Mwisho umesika, Hutaweza, siku hizi kuna so many media to report madudu yenu..

Tuweni wazalendo jamani.. Tuweni wazalendo .. Mungu lazima aibarikia Ardhi yetu..
 
Ni pepo tu anayeweza kukosa huruma namna hii.Lakini kila lenye mwanzo lina mwisho.Siku inakuja when you will have to answer for your evil deeds.
duh AMA WEWE KWELI FIDHULI, MNAFIKI, NA UNANUKA VUNDO LA WAONGO, YOTE ULIYAYESEMA HAPA NI PROPAGANDER YA KUTAKA KUMHARIBIA JINA, NDUGU KINANA, HUTAMWEZA HATA KIDOGO. THIS MAN HAS THE BLESSINGS OF MANY TANZANIANS AND HIS PARENTS, NA HATA ZA MAREHEMU BABA WA TAIFA.

NA SI FISADI WALA HANA ASILI HIYO HATA SIKU MOJA, HAYO MAJUMBA UNAYO YASEMA NI NDOTO ZAKO ZA MCHANA. UTAENDELEA KUOTA, NAONA WEWE NI ASKARI WA KUKODISHWA, BUT A VERY POOR ONE WITHOUT ANY DISCIPLINE, WALIOKUKODISHA WAMEKULA HASARA. NA INJAVYOELEKEA WEWE ULIKUWA MTU WA KARIBU SANA NA KINANA, KWANI YAELEKEA KAMA UNAWAJUA FAMILIA YAKE, HEBU UCHUNGUZWE PENGINE ALIKATAA KUKUFANYIA FAVOR NDIO MAANA UNA TAKA KUMSEMA, JAMAAAAAAAAANI HAMUMWEZI KINANA HE IS ABOVE YOU GUYS N BETTER MAN TOO.
 
mwenyekiti mwizi yeye na watoto wake
katibu mwizi pia jangili kubwa la africa linaogopwa mpka china
katibu mwenezi mwizi na mnafiki
 
Unaharibu kuwajibu hawa watu. Unamfukuza Kichaa aliyekuibia nguo zako wakati unaoga?
Ndo laana mliyo nayo ccm, hata akibaka mkeo kwa kuwa ni mwanachama mwenzio utamtetea kwa maslahi ya chama,dadadeki
 
Back
Top Bottom