Ujinga sasa basi: Kinana tuoneeni huruma watanzania

nimekutana na magraduates kadhaa huku mtaani hawana ajira na kila wakijaribu kujiajiri vikwazo viko lukuki,wanaishia kuitwa interviews kila siku kumbe watoto wa mafisadi walishaandaliwa nafasi....iko siku nasema iko siku na siku yenyewe sio mbali.
 
Hapana..
Watoto wake Wa Damu ni hao watatu tu, wako Kanada Na all details we Have .. Wengine ni out-leak Na mapandikizi tu..lakini si nia kuweka upenuni personal life but when it come to the situation like this, Hata Kama ni wewe hutapenda kabisaa..

sijakuelewa, lakini hata hivyo sikujua kama si mwanae mzazi, labda ni mpwa wake, kwani kalisoma na wadogo zangu al muntanzir akiitwa aminata abduralhman. sorry labda ni jina tu ila kalifanana sana naye
 
Jameni viwanja mbona bado vipo Mabwepande si muende mkajenge huko!kwani lazima mkae Kwa MusaHassani,Halafu kumbuka tatio sio kuchelewa kuzaliwa,ndugu umesahau ule usemi wa mjini usemao ".....ujanja kuwahi",au mwenzetu umetokea kisamvulachole?.
 
Umeonaee na ndo safi, kazi iliyobaki ni kuwachana ukweli tu kupitia media mbalimbali maana tukiingia barabarani wanawatuma walee polisisiemu kutuua.:cheer2:
 
Hivi hawa wanachama wa chama hiki wanakubalije kuongozwa na jangili? Anyway ngoja nikalale najua wenzangu wanaweza kunitajia orodha ya mafisadi ndani ya chama hiki cha majangili na wizi walioufanya na kupata hasira bure!.. MAANA CHAMA HIKI KIMEJAA MIJIZI!
 
Hii ya kupokea rushwa kupitia mitandao ya simu ndio nasikia leo. Wala rushwa hawakosi ubunifu. Hivi hakuna njia ya kuweza kudhibiti ulaji rushwa wa namna hii?

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
Kweli kinana anatisha kuliko Mobutu! najua fika kupata cheo kama hicho katoa rushwa kubwa sana ! kuna hatari kubwa mwaka 2015 tukapata raisi kibaraka wa Qman au qatar au Iran!
 
KAMA UTAENDELEA KUICHAGUA CCM KILIO CHAKO KITAKUWA KM KILIO CHA SAMAKI MACHOZI YANAENDA NA MAJI. CHAGUA CHADEMA MAJANGILI NA MAFISAD WATAREJESHA VYOTE WALIVYOPORa
 
Kila lenye mwanzo halikosi mwisho... Ipo siku yataisha.


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Swali langu moja, huyu jamaa ni mfanyakazi wa umma, na sio mfanya biashara. Amewezaje kugenerate (kutengeneza) pesa yote hii? NI MWIZI, FISADI, MAUAJI. Dawa ni kuandamana tu.
 
Kazi gani Na wapi.. Embu acheni kutusimanga hivyo mkishapata, nenda kafungue Kampuni Kama huna milioni mbili Bado brela hawajaliona faili lako, Kama Memorundum umeitengeneza mwenyewe mbona utajuuta, hiki Bado, kile bado, karekebishe hapa Yaani utakoma, lakini ukitumia Ze-watuz Na pesa nakwambia ni kitu cha siku moja tu, ukimaliza hapo kasake TIN Na CA kula TRA, utasumbuliwa Mtu unaambiwa upredict mtaji wako Na Kama ukipredict kidogo lakini uctual practice ukawa Na mtaji mkubwa Basi unapigwa penalt, sasa ukisikia ivo lazima uropoke mtaji mkubwa kumbe Ndo umejichomea mwenyewe unanyukwa ma-percent ya nguvu hadi unachanganyikiwa..

Yaani mambo yamepindapinda kila kona nenda kwenye passport Ndo kinyaa kabisaaa.. Watumishi wa kule kila Mtu ana Tigopesa, mpesa line yake, kaisajili Kwa jina jinginee, ukifika lazima akutoe kitu, mara hapa umekosea mie ntakusaidia njoo kesho ila unitumie kidogo Kwenye line yangu ya fedha, Na zote ukizipiga kimsingi zinaita tu hazipokelewi, ukipeleleza majina ya cm hizo wala si wahusika kamili, Yaani Nchi HII ipoipo tu, ukijifanya mkali kumbe from reception hadi huko Kwa mabosi wao ni vikosi vya Uharamia, wote Hawa ni Uzao wa utawala haram. Baba Mwizi mtoto ni kudra kuwa sio mwizi..

SERIKALI HII IMETUFIKISHA PABAYA, tukisema utasikia fanyeni Na nyie Kazi Kwa bidii, tunachambwa tu.. Ole wenu.. Wakukimbiza atakuwa wa kukimbizwa soon Na nyie tutawaambia acheni kulalama fanyeni Kazi Kwa bidii ..
Acha kulialia bana, fanya kazi, wewe ulitaka upewe kiwanja msasani? Au Kinana akupe nyumba? We unafikiri kuwa mtanzania ndio unahaki upewe vya bure? Vijana wengi tu wamefanikiwa na hawakusubiri vya bure.
 
Kweli kinana anatisha kuliko Mobutu! najua fika kupata cheo kama hicho katoa rushwa kubwa sana ! kuna hatari kubwa mwaka 2015 tukapata raisi kibaraka wa Qman au qatar au Iran!
Mtapata rais kutoka Zanzibar.
 
Una ushahidi wa huo wizi? Au ndio chuki za kibongo?

Kwa mfanyakazi wa Umma kuwa na fedha kiasi hicho ni hadith. Linganisha mshahara na mali anazo own. Usitake kubisha tu. Kwa income wealth ratio aliyo nayo ni almost impossible kugenarate utajiri huo. Sasa, ameupataje huo utajiri? Eithe, wizi, ufisadi, or ukabaji.
 
Hii ya kupokea rushwa kupitia mitandao ya simu ndio nasikia leo. Wala rushwa hawakosi ubunifu. Hivi hakuna njia ya kuweza kudhibiti ulaji rushwa wa namna hii?

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2

hili lipo sana mdau,kama mhusika hajatengeneza line basi anakupa line ya mtu wake wa karibu
 
Ni kweli mkuu Babu Padri wetu yeye ni Ngono tu hana tatizo na mtu yaan akiona Demu ute unamdondoka sasa najiuliza akikutana na Biyonce si Babu atauza nchi ili ampata mtoto mzuri

Kama mwenyekiti wetu alivyofunga ukoo mzima wa Babu Seya kisa demu wa Sinza, mwaka huu moto mtauona, mnarusha mawe wakati nyumba zenu za vioo!!??? ngoja tuwaache uchi hadi kende zenu wezi wakubwa nyie
 
Back
Top Bottom